letra de vumilia - mackd zo
vase 1
tangu nilipo kuona kwamara yakwanzaaa
ulini vutia. kwa mwengine sikuona tena
urembo wako,,, uzuri wako nanywele lainiii
ukija nikosea utanitoa maini
hata nikiwa sina jua kesho nitapataaa
wasikudanganye navisendi
ukanikimbiaaa
wakiongea wachawaseme usiku watalalaaaa
ayatuhusu kwanza nipe basuuuu
vumilia vumilia mpenzi w-ngu
vumilia vumilia kesho tutapata
vumilia vumilia kesho tutapata
vase 2
mapenzi yanatesa wacha niyakiri…
kuku acha kwenda kwa mwengine kw-ngu hiyo sifikiriii..
ndomahana hata kw-ngu nimekusitiri
wanaokufata wote jua nimakafiri
usijaribu kuwapa nafasi
wakisha kutumia wanaingia mitini
maisha safari inaitaji uvumilivu ndomana sikuzote utanipata kwenye dini
nikililia god anipe utajiri
kwamaisha yangu yote niweze kuk-miliki
hadi ileday tutaishia kaburini
familia tuijenge isije ikafa masikini
tumiliki manyumba pia namagari
we niw-ngu niambie kile unaitaji
kw-ngu hiyo sioni kama nimaitaji
kupenda nakupenda kw-ngu iwеzi kua siri
wacha wasema umenikalia chapati
mimi kama simba nitawapunguza ngori
tukimbizane kama wanyama pori
ukiwa nami bеbi usiwori
becouse i am that much holy
vase 3
wacha waseme usiku walalala
kwamaneno yao isitunyime usingizi
vumilia mpenzi tutazidi kwamaneno
yao watabaki namachungu
wacha waseme usiku walalala
kwamaneno yao isitunyime usingizi
vumilia mpenzi tutazidi kwamaneno
yao watabaki namachungu
letras aleatórias
- letra de what if - ollie
- letra de physical copies - tha god fahim & jay nice
- letra de зачем мне этот мир? (why do i need this world?) - txcnz
- letra de tired of u - alex rauda
- letra de let's roll - the goods
- letra de trónfosztó - vzs
- letra de be my girl - david st. george
- letra de attitude - c2d
- letra de the road less traveled - the martins
- letra de tremendous (album remix) - mama mystique