letra de niambie - lydia wabs
[verse 1]
mapenzi nikama maji ya moto inachoma sana sina budi kusepa,ila moyo w-ngu unaugua maradhi maradhi ya yule nae mpenda sana
(repeat chorus)
ooh ooh ooh beiby niambie niambie unanipenda sana×2
[verse 2]
usiku silali mawazo kibao nawaza nilini ndakuona wewe,fanya ima uje,tuishi pamoja tusitenganishwe na chochote coz you are my king nikuone kila siku nitembee na wewe daily sita ona haya nikiwa na we my beiby by my side tena njoo unipunguzie mapigo ya moyo coz you are my light you keep me shine in the darkness igive my love to you no body can take it iwanna be your b-tter fly forever,igive my love to you no body can take it iwanna be your b-tterfly forever
(repeat chorus)
ooh ooh ooh beiby niambie niambie unanipenda sana×2
take my hands beiby let’s go far away my hurt is burning like fire coz ov you,moyo w-ngu umekupenda wewe tuu na sihitaji mwingine eeeii,we ndio doctor wakunitibu maradhi ya moyo na si hitaji mwingine eee ii
(repeat chorus)
ooh ooh ooh beiby niambie niambie unanipenda sana×3
letras aleatórias
- letra de vatromet - rada manojlovic
- letra de through the woods (whiszper remixx) - bodyrott
- letra de portal 2 - the ultimate destroyer
- letra de dogboy - yung lean
- letra de só te queria ter aqui - drumkid 253
- letra de last time - carns hill
- letra de i was me - zachy beanpole
- letra de aventura à toa - grupo sanfonaço
- letra de tower of talent - screeching weasel
- letra de positivity - mesha dyer