letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de i'm dreaming remix - longnus

Loading...

verse
i’m i dreaming ka deluna but hii ni hips ya shakira
head juu kwa henga si ndo shot za tequila
i don’t remember anything hadi njicheki kwenye mirror
bedroom haifai kwa nap, party ni drinks bila

you the woman si demu ya mjini
sura mafuta halafu unajiamini
kubreach no umegoma kwani ya nini
u satisfied na god unajithamani

kila ukiwalk ni lawama, maboys husay makusudi
sikutumi hata madukani, usijekwenda na usirudi
mwenyezi kabless amen, after zote ye ni god
ni shy vile ukinitazama, nazama ndani bila hodi

gad-mn nimechizi kabisa
your name sijuwi hata ni marissa
so utani mwenzako wanimaliza
i’m finished, deceased no kisa

fall off the bed girl when i try to eat it
push it right here, i’m tryna make you feel my d-ck test
beat that p-ssy ’til the sweet, ’til the p-ssy burst
oh-oh
can u guess this bet?
i love the fact that i’m adam you eve
hata kama iko tofauti but i have to believe
kwamba mimi na wewe we are meant to be
dey ain’t never seen you naked so hao ni ma naive(wasiojua)

switch
i’m loco with the body of you
you smart and beautiful
nansinzia nikikuwaza juu
i’m loco with your body
and i remember your smile view
kwa mi corazon iko tattoo
kila day siwi fine nikibaini bila you
i’m loco with the body of you

maamuzi no kufeli, hakuna kejeli
nitakupa unachostahili hapa no kuworry
wapuuzi no story, ni sisi tu wawili
ninachosema sitobadili unasubira vuta kheri

mapenzi uchizi, ufundi kazi
w-ngapi machozi, walopewa kozi
mapenzi siku hizi, ni wazi wazi
ukileta ujuzi, utaliwa wazi

i no be your fada but i’ll dare to go give you advice
wachana na nas bill ya nandy nitapay prince
the way nakungoja home utokeze kama sun rise
unipe vitamin, vitamin u! kiss!
hey!
i wanna see you dance
como illama mamacita
te quiero siñorita
como illama mamacita
te quiero siñorita
como illama
como illama
como illama
como illama
como illama
como illama

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...