
letra de sawa - lizone ntio
vyote ulivyoposti nili like nakukomenti, j-po moyo uliumia, moyo w-ngu uliumia
nikajikokota niketi masikini wakuchiti, huku bujibuji najivujia, machozi najivujia
huku ndani ndani moyo unalia
zile k-mbuk-mbu nawe, zikawa zanisuta nijiue
kweli haunijali wewe, unampenda mwengine nijishaue aah nijishaue
mara nikak-mbuka ndoto, tulikua na ndoto
minawe tupate watoto, wakwanza awe cynto
nikak-mbuka ndoto, tulikua na ndoto
mi nawe tupate watoto, wakwanza ndio cynto
j-po haitatimia
ni sawa (hata nisipopona)
ni sawa (aah moyo w-ngu)
ni sawa (hata uliumia)
ooh ni sawa (hata usipopenda)
ni sawa (moyo w-ngu)
ni sawa (aah jamani)
ni sawa (hata usipopona)
ni sawa
maumivu ya moyo w-ngu, sawa kuchomwa kisu cha moto
nikiitazama simu yangu, umempost caption wandoto
mwenzako bado najitazama, kisha namtazama, najiuliza nakosa nini, mpaka wewe hunithamini
ama kwake ndio salama, kw-ngu hakuna cha mana, hata kitanda changu chini, ndio mana hunithamini
mara nikak-mbuka ndoto, tulikua na ndoto, mi nawe tupate watoto, wakwanza awe cynto
nikak-mbuka ndoto, tulikua na ndoto, mi nawe tupate watoto, wakwanza awe cynto
j-po ndoto haitatimia
ni sawa(hata nisipopona)
ni sawa (aah moyo w-ngu)
ni sawa (j-po umeuvunja moyo w-ngu)
ni sawa (sidhani tena nitapenda)
ni sawa (maumivu ya moyo w-ngu)
ooh ni sawa (oooh)
ni sawa
aah ni sawa
(vyote ulivyoposti nili like nakukomenti, j-po moyo uliumia, moyo w-ngu uliumia)
thunder music open world
letras aleatórias
- letra de last days of summer - lucy kaplansky
- letra de at home - blush always
- letra de arm in arm - tape head (deu)
- letra de new wings - bluebunny & twinflamegirl
- letra de maremma - daisy lumini
- letra de karitè - edonico
- letra de i got time - brittney spencer
- letra de cupcakes taste like violence - malibu maddie
- letra de hier ist einer zuviel - roland kaiser
- letra de ely gay bta3na - اللى جلى بتاعنا - sony music entertainment middle east