letra de baby mama remix - linex
[intro]
the v.o.a
…smg
[drop native language]
[verse 1: linex]
kama kuimba kupokezana
now she just my baby mama
hatuna tena ma drama, drama
tumezaa, na tunalea
kwanza nikupe sifa zako
kwa kutobagua watoto
tena nikupe hongera zako
kwa k-mtunza mke wako
tatizo lako mkigombana
unanipa lawama
mkipatana unajizima data
nakuniona, sina maana
ushaambiwa mahawara hawaachani
hiyo ni misemo ‘ya zile zama
sikuzui kuwa na wivu kwa baby mama
nayajua mapenzi ‘mke yanauma vibaya
[chorus]
she’s my baby mama
tush-gombana, tukapatanishwa, ‘ikashindikana
she’s my baby mama
kuwa na amani, mi na mkeo ni wazazi na tunalea
she’s my baby mama
tush-gombana, tukapatanishwa, ‘ikashindikana
she’s my baby mama
kuwa na amani, mi na mkeo ni wazazi na tunalea
[verse 2: baraka the prince]
nikifika mwisho sio rahisi
kuyabadili maamuzi, ‘ah
aki’ mapenzi uzushi
yalitufanya wapuuzi
alitubariki muumba
huyo kinda ndio kiunga’ nishi
ada, na k-mtunza
siwezi vunga, nitamkufuru muumba
kama ulivyo kusudia, ah, ah
mke mi nikakuachia
nami w-ngu nikajipatia
sasa ‘tunailea familia
wahenga wa zamani
walijaribu kutupatanisha na ikashindikana
punguzeni drama
kwani nnae wa kw-ngu [urithi]
maana nampenda sana mwanangu
iye, yeah, yeah, yeh, aye
aye, aye, aye, aye, aye…
[post-chorus]
she’s my baby mama
tush-gombana, tukapatanishwa (tush-gombana)
ikashindikana
she’s my baby mama
kuwa na amani
(oh, ?)
mi na mkeo ni wazazi na tunalea
she’s my baby mama
(ikashi…)
tush-gombana, tukapatanishwa ‘ikashindikana
(ikashindikana)
she’s my baby mama
kuwa na amani
(shindikana..)
mi na mkeo ni wazazi na tunalea
(my baby mama)
ikashindikana
that’s why she cares for baby, mama
yeah
[outro]
na j-j-j eidah
smg
my baby mama, tunalea
my baby mama
letras aleatórias
- letra de tears' night - mizuki nana
- letra de honey-doo - jawbone
- letra de terreno cercado - luis7lunes
- letra de paradise - rai hann
- letra de gardını al - ruten
- letra de atlanta - tia (ita)
- letra de berbeza kasta - safira inema
- letra de rottami - laguna bollente
- letra de you deserve it - dunsin oyekan feat. rev sam oye
- letra de sogno - dente