
letra de mbcity - lilpyynx
[intro]
pyynx hii ni very bad!
(mbcity tumefika market…)
[chorus]
mbcity tumefika market
tuna-ball na ma-grades tuko perfect
kuna success una-fill in the brackets
in the end tuna-end up being happy
unasleki napita no mercy
si ni wakali kuliko makasi
unasoma una-chop unaichapa kazi
una-joke una-joke unageuka mrazi
mbcity tumefika market
tuna-ball na ma-grades tuko perfect
kuna success una-fill in the brackets
in the end tuna-end up being happy
unasleki napita no mercy
si ni wakali kuliko makasi
unasoma una-chop unaichapa kazi
una-joke una-joke unageuka mrazi
[verse 1]
“una-fail una-bury the hatchet,” si huwa hatu-fail tunapeana chances
you talk when wе say nyi ni puppets bonga vibaya ujipate na crutches
, high school sijai ona harrasment
high school hakuna red carpet sote ni equal hakuna mtu perfect
[verse 2]
zabe ya rincy makapa hunyesha school renovation alileta
ye hukuwa best friends na m-pesa so educated ye hutupa lectures
we ni rincy one of a kind as you live on your life we jua tunakupenda
[verse 3]
kwach, jaduor, okoth, ye ndio mastermind wa masomo
kukuwa number one all kenya si mchezo ni ka alitushindia lotto
harry g aka-come kueneza, m. b. r. m. b. t. kuendeleza
k. c. s. e. kupita sio pressure 9.5 kufika sio pressure
[chorus]
mbcity tumefika market
tuna-ball na ma-grades tuko perfect
kuna success una-fill in the brackets
in the end tuna-end up being happy
unasleki napita no mercy
si ni wakali kuliko makasi
unasoma una-chop unaichapa kazi
una-joke una-joke unageuka mrazi
mbcity tumefika market
tuna-ball na ma-grades tuko perfect
kuna success una-fill in the brackets
in the end tuna-end up being happy
unasleki napita no mercy
si ni wakali kuliko makasi
unasoma una-chop unaichapa kazi
una-joke una-joke unageuka mrazi (unageuka mrazi!)
[outro]
pyynx hii ni very bad!
letras aleatórias
- letra de j'te parle - swift guad
- letra de my volvo (sabzi remix) - grynch
- letra de live a little - softee
- letra de that action - impromptwo
- letra de life - söhne mannheims
- letra de schmerzableiter - olli banjo
- letra de stupid - simon curtis
- letra de you can look (but you can't touch) - kim sozzi
- letra de geschenkter tag - max herre
- letra de let me sing (skit 3) - jharrel jerome