letra de zoza - lilmaina
[intro]
k on the track
[chorus: lilmaina]
kwa hii life tunacheza amongest mafala, mambleina wamegeuka imposters
nilitoka kwa slum za mathare, saii naishi mayolo na sling n-z-chota
mechi zangu zingine nmedishi maforeigner wapoa k-megeuka europa
nina ball wanadhani nakopa, nina ball wanadhani nakopa

[verse 1: lilmaina]
nikitoka mi huchafua scenes, man i’m on their mouth like listerine, uh
and if i cheat i’ll come out clean, kujificha your toi, uh
na ma exes kuwatesa, ni ju daily na apply-ingi joh pressure
team kuzidi, there is no rest man, last show nilizoza huko wstrn
na siku hizi wanasema nakula ati jere kidogo umekuwa na kitambi
na bimmer nimeshika nimechapisha debe, ukiingia unaskiza kinyambi
niko trap kilimani, wapoa wako different lakini ukweli ni mababi
uh, samahani, mteja wa nambari hapatikani
[verse 2: ajay]
niko na dem yako ana chali, anadai una games chali
kwa bed mi ni jeff hardy, doba imeuawa when i get st-rdy
marapper wako class wanaget studies, [?] whip my g i got car keys
rode my jeep piga nikes, all time si unajua hizo ndo fly kicks
si unajua hii side nimezoza, si unajua hii side nimezoza
si unajua hii side nimezoza, ukipull up na socks usisahau pia trouser
si unajua hii side nimezoza, si unajua hii side nimezoza
si unajua hii side nimezoza, ukipull up na socks usisahau pia trouser
[chorus: lilmaina]
kwa hii life tunacheza amongest mafala, mambleina wamegeuka imposters
nilitoka kwa slum za mathare, saii naishi mayolo na sling n-z-chota
mechi zangu zingine nmedishi maforeigner wapoa k-megeuka europa
nina ball wanadhani nakopa, nina ball wanadhani nakopa
kwa hii life tunacheza amongest mafala, mambleina wamegeuka imposters
nilitoka kwa slum za mathare, saii naishi mayolo na sling n-z-chota
mechi zangu zingine nmedishi maforeigner wapoa k-megeuka europa
nina ball wanadhani nakopa, nina ball wanadhani nakopa
[verse 3: mr. right]
bad b’s a to z, nawakunywa na straw kama lucozade
tuko bukla anatingisha bunda, anataka kunionesha kurotate
slow whine, [?] hotel naisqueeze, i’m on my lucky days
hizi sides sisi ndio kusema, tukikam hizo side mnarelocate
drip so cold on a sunny day, ayy sippin’ on lemonade
ni uongo hio ni fairy tale, unacap alot hio ni nini unasay?
drip so hot on a rainy day, ayy sippin’ on lemonade
i’m in for the money days, mulla cash i wanna get paid
[outro: lilmaina]
kwa hii life tunacheza amongest, mafala mambleina wamegeuka imposters
nilitoka kwa slum za mathare, saii naishi mayolo na sling n-z-chota
mechi zangu zingine nmedishi maforeigner wapoa k-megeuka europa
nina ball wanadhani nakopa, nina ball wanadhani nakopa
letras aleatórias
- letra de the road 4 (part 2) - steven pasquale, rachel bay jones & bobby cannavale
- letra de 0.8 zen - hrz "hotelromeozetla"
- letra de sidney (bro luv) - nosnow
- letra de догола (naked) - 163onmyneck & polyana
- letra de weeds - bathsheba
- letra de on fait avec - bendo $ex
- letra de grounded - carb on carb
- letra de milo - the slightest bits
- letra de one way spit - debris' (usa)
- letra de время - деньги (time is money) - lex starr