letra de maclowns - likki
jina haiandikiki
236 innit
(intro)
ah , succeed unatokwa without a sound
survival , survival is key hizi grounds
(hook)
nikicheki right & left k-mejaa maclowns , maclowns
wadhi watakucheki ukidrown
heavy is the head that wears the crown
succeed unatokwa without a sound
survival is key hizi grounds
backstabbers ilibidi niseme this out loud
nikicheki right & left k-mejaa maclowns , maclowns
wadhi watakucheki ukidrown
heavy is the head that wears the crown
succeed unatokwa without a sound
survival is key hizi grounds
backstabbers ilibidi niseme this out loud
(verse)
sijaona mengi but vitu naona lately
madem ni wengi but bro walai ulimedi
huyo dem amefinnessiwa na wengi
f-ck mapenzi my n-gga utapata ukedi
unalia huna doh na uko lazy
my generation is f-cking crazy
body count imepita mabao za roro na messi
difference ya uwongo na ukweli ni maybe
kanairo uwongo mingi ni plenty
nasaka doh story mingi sipendi
aliruka kwa bedi after k-mchocha yeh ni ms-xy
utachachisha ukichoma kwa gazzeti
utapendwa ukianza k-make it
kwa hio circle kuna msee atakuseti
ah ah
(hook)
nikicheki right & left k-mejaa maclowns , maclowns
wadhi watakucheki ukidrown
heavy is the head that wears the crown
succeed unatokwa without a sound
survival is key hizi grounds
backstabbers grr!! grr!! grr!!!
nikicheki right & left k-mejaa maclowns , maclowns
wadhi watakucheki ukidrown
heavy is the head that wears the crown
succeed unatokwa without a sound
survival is key hizi grounds
backstabbers ilibidi niseme this out loud
nikicheki right & left k-mejaa maclowns , maclowns
wadhi watakucheki ukidrown
heavy is the head that wears the crown
succeed unatokwa without a sound
survival is key hizi grounds
backstabbers ilibidi niseme this out loud
(verse)
naenda far nikona map
utakupigwa slap ukianza k-mouth
clowns mnasaka too much clout
ambia promoter atume in pounds
ntamake sure umelike hii sound
staki lesson daro zimebounce
achievement isifanye ukuwe too proud
watch your mouth
ama mabare zikuwe too loud
zealous gang , likki
melodic drill nshailaunch
tunastand out ka peter crouch
design mko fake nliacha kucount
wonderkid ka mason mount
kukirain toa drought
silent moves we dont announce
(outro)
man down! man down , man down !!
ni weh naongelesha you f-cking clown
being real hujui how
hii ni jungle tutakuhunt down‼️
man down! man down , man down !!
ni weh naongelesha you f-cking clown
being real hujui how
hii ni jungle tutakuhunt down‼️
letras aleatórias
- letra de najaa - wykax
- letra de [kush] plugged in freestyle - kush (ofb)
- letra de 微笑分手 (move on) - feng ze 邱鋒澤
- letra de i am god prt3 - a6
- letra de vada come vada - rocco hunt
- letra de you blow my mind - daiki blunt
- letra de hustle slime - dre rage tv
- letra de ok - will. (gate 문)
- letra de no residual - 137 (us)
- letra de let go - miron rafis