letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de waridi - leteipa the king

Loading...

intro:
(unanikomesha) uhhhhhh
(unanikomesha)
(unanikomesha) ni vampk
(unanikomesha) 254 (big daddy)

verse 1
ukidunga kamini
gunia gauni ama dera ,bado we ni mashini..
sijui nikwanini, nikikuona nahisi nginyera inakata maini..
wanashangaa ati niko boring na hauendagi kwao
wanasambaza nyori na hatukulagi kwao
bila chapaa hatuna ngori fiti zaidi yao
hata tukiwa na njaa tunala story finger pande yao

hook
nitunze kama mshumaa ama koroboi
ndo nisipoe, unipende mimi… mhhh
kuna wengi shujaa wenye pesa na mali dooh
wasikutoe unitende mimi, ..

chorus
wasikuvizie unikimbie mpenzi (waridi)
na huu unyonge w-ngu si nitanyong’onyea (waridi)
nivumilie, nikuhudumie, babe (waridi)
hata ng’ombe za nyanyangu ntakupea eeeeh
(unanikomesha)
nyumba magari havishindi thamani yako, (unanikomesha)
ntapeana vyote niwe nawe mababe boo (unanikomesha)
sukari asali havishindi utamu wako (unanikomesha)
naeza kula sembe kavu nikikutazama tuu
(unanikomesha)
(unanikomesha)
verse 2
kuja ghetoni tupike
ukaange nikionja hadi kwa sufuria kaive, iyeeih
kisha stima tuzime
tukule mziki kwa nguvu mpaka majirani wakujee, iyeeeh
ulivyojaah
nika unakulaga ijumaa
ukinishika moyo unashikwa na kaswende nazubaa
unanifaa, yaani mi ndo giza we ndo taa
ninavyokupenda nikama nimekuzaa eeeh

hook
nitunze kama mshumaa ama koroboi
ndo nisipoe, unipende mimi… mhhh
kuna wengi shujaa wenye pesa na mali dooh
wasikutoe unitende mimi, ..

chorus
wasikuvizie unikimbie mpenzi (waridi)
na huu unyonge w-ngu si nitanyong’onyea (waridi)
nivumilie, nikuhudumie, babe (waridi)
hata ng’ombe za nyanyangu ntakupea eeeeh
(unanikomesha)
nyumba magari havishindi thamani yako, (unanikomesha)
ntapeana vyote niwe nawe mababe boo (unanikomesha)
sukari asali havishindi utamu wako (unanikomesha)
naeza kula sembe kavu nikikutazama tuu
(unanikomesha)
(unanikomesha)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...