letra de tenga - leteipa the king
intro
bibli bam bam bam bam
verse 1
nilipokwona jana, ukipita umevutia
nilibaki nimeduwaaa
umbo lako mamii, linanipa kiungulia
ungewa nguo ningekuvaaa
nyuma una bonge la ndoo, mum shikamo
napenda kucheki ukinyonga hiyo,..
ukitembea chwani chwani masoo,,i need to know
umetosheaje kwenye toja hiyo..
hook
sura shepu na tabia, na nutritious ka dania
na ingewa sufuria ningekuwa mwiko
ulivyoshona jumuia, kitoweo kwa sinia
ukinipa ntabugia, kama komba mwiko
chorus
tenga (wamlabez wamnyonyez, wine kama sio yako umepewa)
tenga( wine pande. wine shiothee, ka unahepa msako umelewa)
tenga (usiwe na aibu, tingisha wapate kitu ya kupost fb)
tenga (sahau masaibu, zikishika tufike gheto nikupe kihb)
tenga
tenga
vеrse 2
unavyosakata dansi
mwili mpaka nafsi
zinakufa ganzi
kama nyasinyasi
zanigwara hadi nafurahi, ooh nafurahi
urefu w-ngu was farasi
nitakupa banzi
tamu ka nanasi
moto kama basi
ndefu kama ngazi ukidai, ooh ujidai
uko hot ka solar,.
strong ka mollar
soft ka rollar ,yaani conc ka collar
calm ka ballеr
expe ka dollar
sick is ebola
wanakupenda ka ocholla..
hook
sura shepu na tabia, na nutritious ka dania
na ingewa sufuria ningekuwa mwiko
ulivyoshona jumuia, kitoweo kwa sinia
ukinipa ntabugia, kama komba mwiko
chorus
tenga (wamlabez wamnyonyez, wine kama sio yako umepewa)
tenga( wine pande. wine shiothee, ka unahepa msako umelewa)
tenga (usiwe na aibu, tingisha wapate kitu ya kupost fb)
tenga (sahau masaibu, zikishika tufike gheto nikupe kihb)
tenga
tenga
letras aleatórias
- letra de slave ship - the darkest of the hillside thickets
- letra de latino's stand up (rmx) - chino xl
- letra de nothing to say about it now - the stray birds
- letra de everyday crush - vexed 420
- letra de girls - g, the wiz
- letra de uò uò - gianna nannini
- letra de hallelujah - renée fleming
- letra de no bullshit - dj quik
- letra de what are you afraid of? - jamie lidell
- letra de juggernaut skit - sabali theiam