letra de mwambie - leteipa the king
verse 1
nimechoka k-meza mate, wenzangu wakila nyama
nachotamani anipakate
awe mitchele niwe obama
siku hizi nimewa chizi
kila muda nafikiria
kile mi nitampatia aingie kwa box
anajifanya busy
hataki kunisalimia, anadhani ntamtumia nimtupe kwa choo
hook:
mwambie ntafanya chochote ili anikubalie
ntaacha dawa na pombe ili afurahie
ntaenda sunday kanisa sadaka nimlipie
nitajifanya sofa aje anikalie
chorus
(aeaeaeaaah) mwambie sitaki mwingine
(aeaeaeaaah) ni yeye tuuu
(aeaeaeaaah) nitampa chochote pengine
(aeaeaeaaah) hata nimpeleke majuu
verse 2
natamani niwe yake simu, anifinye kila saa
awe stude niwe mwalimu iwe lazma aniite sir
huwa nahisi wivu , rafiki wakimk-mbatia, wakati sinawahi msalimia nakanyaga kivuli
na nina maumivu, natamani k-muambia, ila mashindwa vile ntaanzia ameweka kifuli
hook:
mwambie ntafanya chochote ili anikubalie
ntaacha dawa na pombe ili afurahie
ntaenda sunday kanisa sadaka nimlipie
nitajifanya sofa aje anikalie
chorus
(aeaeaeaaah) mwambie sitaki mwingine
(aeaeaeaaah) ni yeye tuuu
(aeaeaeaaah) nitampa chochote pengine
(aeaeaeaaah) hata nimpeleke majuu
letras aleatórias
- letra de flowers - lil stars (chicago)
- letra de nigdy w życiu - paluch
- letra de don't let me down again - andrew bird & madison cunningham
- letra de olvídate de mí - diamante negro (esp)
- letra de amarah (setengah mati version) - rekah & white chorus
- letra de nature's beauty - anthony boccaleoni
- letra de come with me - the weathered souls
- letra de i need help - connor price, maverick city music & taylor hill
- letra de telephone (ming dub mix) - lady gaga
- letra de inside out* - sam fender