letra de sijiski - leeroy
[intro : mabantu ]
aah leo sio poa (aaah)
sijiski manze leo sio poa (ay man)
aah leo sio poa (leeroy)
sijiski sijui nani kaniboa (si wanapenda kubang)
[pre-chorus : twaah mabantu]
leo nipe gambe (gambe)
bebe (bebe)
monde (waah)
shisha (come on)
pembeni na kitu (yeh man)
au ziga (ziga)
nipige ili nipoteze mida (kiruuuu)
[chorus: muuh mabantu]
vyengine sijiski
sijiski
sijiski
sijiski
me sijiski
sijiski
sijiski
sijiski
vyengine sijiski
[verse : leeroy]
naskia simu inaita
staki kupokea kama vipi barida
(sijiski)
sii kuna demu bana amenitext anataka twende guest bana
(sijiski)
show zote mi si fanyi leo
nipo home nime cool usinicheki leo
na sina na time for n0body usinilete vimeo
nime chill na wanangu wanao nipa vyeoo
[pre-chorus : twaah mabantu]
leo nipe gambe (gambe)
bebe (bebe)
monde (waah)
shisha (come on)
pembeni na kitu (yeh man)
au ziga (ziga)
nipige ili nipoteze mida (kiruuuu)
[chorus: muuh mabantu]
vyengine sijiski
sijiski
sijiski
sijiski
me sijiski
sijiski
sijiski
sijiski
vyengine sijiski
[bridge : muuh mabantu]
sijiski manze leo sio poa
aah leo sio poa
sijiski sijui nani kaniboa
aah leo sio poa
[verse : leeroy]
i don’t care todays not the day
im staying at home im playing a bunch a games
ring ring oh shoot dats yo bae
she coming to da crib cuh i aint going no where
ukiniweka kwenye tracks me i k!ll no
sinaga time for da haters me i been known
she know i been a bad man on da beat no
so she can’t come around she gotta call home and let know
today im staying home don’t call my phone im busy
i got a lot of things nah im lying i do me
thank god on da days like this i can layback sit back and worry about no pitch
[pre-chorus : twaah mabantu]
leo nipe gambe (gambe)
bebe (bebe)
monde (waah)
shisha (come on)
pembeni na kitu (yeh man)
au ziga (ziga)
nipige ili nipoteze mida (kiruuuu)
[chorus: muuh mabantu]
vyengine sijiski
sijiski
sijiski
sijiski
me sijiski
sijiski
sijiski
sijiski
vyengine sijiski
[bridge : muuh mabantu]
sijiski manze leo sio poa
aah leo sio poa
sijiski sijui nani kaniboa
aah leo sio poa
letras aleatórias
- letra de rosalía & travis scott - tkn remix (feat. jaks ali) - jaks ali
- letra de eld - jonathan askemur
- letra de voglio un sole che sia sole - lino toffolo
- letra de kabiru mapariwo - temmy garrit
- letra de sen çal kapimi - aytekin ataş
- letra de beneath the remains - sinister
- letra de kuchen - kalazh44 & brudi030
- letra de regrets - graveyardboys (ca)
- letra de rotten smell of dirty lies - antipeewee
- letra de valid thru the year - knapsack 2