![letras.top](https://letras.top/files/logo.png)
letra de tukaze roho - lava lava
spice music
maisha yangu si ya ki papa
ni vitembele ya nyanya chungu
dagaa kurusungu, hummh
niko chakavu na nimechakaa
yaani naishi ki mungu mungu
mtetezi wa bunjuu
mjukuu wa binti simba
okoa mangala
wa mwisho kitinda mimba
mwenye elimu uchwara
maisha yalivyo nifilimba, akanijalia jallah
nikaanza kuimba, uniondoke uf-kara
ila bado
kipato changu cha chini nacho kina utata
hata visenti hamsini kuvipata mashaka
nalia na umasikini mungu ashushe baraka
enyi wezangu na mimi tusikate tamaa
tukaze roho, tukaze roho tusichoke
tukaze roho, mungu wa kwetu sote
tukaze roho, eeh tusichoke
tukaze roho, mungu wa kwetu sote
j-po, maisha yenye ya manati
hatupati kila tukilenga
kukicha misumari ya bati
kuku kapenya kwa tenga
kula yetu tu ni wasiwasi
tutapata wapi ya kujenga
wa kupiga picha masaai
kulala mbagala kwa chemba
tunaunga unga mwana (haya ndo mambo yetu)
hayana tofauti na jana (ndo maisha yetu)
wazazi kulala na mwana (heey…)
chumba kimoja mandoo, masufuria (wenyewe tushazoea)
kipato changu cha chini, nacho kina utata
ata visenti hamsini kuvipata mashaka
nalia na umasikini mungu ashushe baraka
enyi wezangu na mimi tusikate tamaa
tukaze roho, tukaze roho tusichoke
tukaze roho, mungu wa kwetu sote
tukaze roho, eeh tusichoke
tukaze roho, mungu wa kwetu sote
iyo lizer
wanangu wa bodaboda, tukaze roho
kina mama vikoba, tukaze roho
ah rumbesi wabeba virogha, tukaze roho
vijana wezangu, tukaze roho
tutapata tu
letras aleatórias
- letra de ala - shiza
- letra de frosty tips - super famous fun time guys
- letra de (found it) you found it - modern chemistry
- letra de kripto - leon & dj architect
- letra de i will - david foster
- letra de cozy - yungtizzo, otizz, yungiiie_therapper
- letra de sophie, still ascending - sundogsarah
- letra de sons of shaolin - mc orzeł
- letra de laboratory - 511 olly
- letra de твои слёзы (your tears) - smolin