letra de ningefanyaje - lava lava
[verse 1]
umenipa upofu sioni ee
mbele giza nyuma giza nikipapasa
umeniacha kwamataa kulikoni ee
kila nikijiyliza nahisi kudata
ningefanyajee
ungesema labda unataka niwaje ee
nieleze nikupendaje
chonde chonde chonde ee ee
sweety mwenzio
akili mbili kasoro
nachanhanyikiwa (napatwa ukichaa)
umenipa msiba kilio
nimebaki doro nimwana mukiwa
[pre chorus]
skuizi kunywa nakunywa
kulewa nalewa
kwako nilikosa shabaha
nikalenga hewa
kunywa nakunywa
kulewa nalewa
nilikupenda kweli nikadhani ngekewa
[chorus]
ningefanyajee
ungesema labda unataka niwaje ee
nieleze nikupendaje
chonde chonde chonde ee ee
ningefanyajee
ungesema labda unataka niwaje ee
nieleze nikupendaje
chonde chonde chonde ee ee
[verse 2]
toka uondoke
nateseka sina raha nnauzuni kibao (kibaoo)
nalia muda wote
mwenzangu unakula raha
nakuona kwamitandao (mitandaoo)
unaposti vijembe tiktok
nakutambiana
kapsheni zako ndizo
zinanichanganya
eti ulikosea njia hatukuendana
mengine ninayoambwiwa
hayasemeki daah
[pre chorus]
skuizi kunywa nakunywa
kulewa nalewa
kwako nilikosa shabaha
nikalenga hewa
kunywa nakunywa
kulewa nalewa
nilikupenda kweli nikadhani ngekewa
[chorus]
ningefanyajee
ungesema labda unataka niwaje ee
nieleze nikupendaje
chonde chonde chonde ee ee
ningefanyajee
ungesema labda unataka niwaje ee
nieleze nikupendaje
chonde chonde chonde ee ee
letras aleatórias
- letra de вечное пламя - tlknss
- letra de belgio - ashes (ita)
- letra de nove ore di sonno - golya guzman
- letra de awake - far west
- letra de insano pt.1 - roobird
- letra de daddy of mine - four year strong
- letra de radical hatred / radical love - while she sleeps
- letra de daughter - camie
- letra de nocturna - frankie zane
- letra de dico bugie - marghe