
letra de nimekuchagua - lava lava
mmm, yeah
ah! baby oh!
mwenzio nina habari
uje nkung’ate sikio
sina ujanja oh
mi kwako dhofuli hali
nimeshaweka kituo
nimenunua kufuri
na mlango nishafunga
nakukabidhi funguo
nenda iweke pazuri
na misumari gonga
zungusha pia uzio
ooh
staki wa vichochoroni
zipu nshafunga kwako weeeh
iweje nkuweke rolehani
na tetenasi nkulete
staki wa vichochoroni baby
zipu nshafunga kwako weewe
iweje nkuweke rolehani oh baby
na tetenasi nkulete
iyaaaa
honey, oh honey
nimekuchagua oh honey
honey, oh honey wee
nimekuchagua oh honey
ooho hey!
hana maana nilomridhia oh
aliniacha nikitapatapa
hakuwa na huruma nilipomkosea
mi binadamu sijakamilika
akasahau mapenzi hayana kabila wala kwao
yoyote anatunukiwa
uhmm unayemuona kwako tahira ndo uyo uyo
mwenzako moyo anaujua
ya nini baby
staki wa vichochoroni
zipu nshafunga kwako wee
iweje nkuweke rolehani
na tetenasi nkuletee
staki wa vichochoroni baby
zipu nshafunga kwako weeweeh
iweje nkuweke rolehani ooh baby
na tetenasi nkulete
iyaaaa
honey, oh honey
nimekuchagua oh honey
honey, oh honey we
nimekuchagua oh honey
honey, oh honey
nimekuchagua oh honey
honey, oh honey
nimekuchagua oh honey
honey, oh honey
nimekuchagua oh honey
letras aleatórias
- letra de my race with life - zeyad mohamed
- letra de proof of you - dave pettigrew
- letra de nettle - ivory hours
- letra de épidémie - shgang
- letra de haunt me out - big whoops
- letra de run - bambi
- letra de shiver - one step to abyss
- letra de start the fire - too many t's
- letra de rocket - mistagwalla
- letra de perderme contigo - bacilos