letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de maji - lava lava

Loading...

[intro]
nasikia kiu, sijui wapi nitaikata
nasikia kiu, mnyama koo linawasha
he-he, lovebite
mr. l.g
enheee…,huyo ndio pablo sasa

[chorus]
maji, maji (maji)
maji, maji (maji)
maji, maji (maji)
maji, maji (maji)
maji ya kisima (maji)
maji ya mtungi (maji)
maji ya mtaro (maji)
maji ya kandoro (maji)
nataka maji, maji (maji)
maji, maji (maji)
maji, maji (maji)

[bridge]
churrr, aah
i like it, i like it, i like it
churrr, aah
i like it, i like it, i like it
[post-chorus]
we pablo hushiki
we pablo hushiki
we pablo hushiki
hushiki, hushiki
we ninja hushiki
we ninja hushiki
we ninja hushiki
hushiki, hushiki

he-he, love bite

[verse 1]
eh, huyu chura wa wapi huyu?
kidogo tu kashamwaga maji
(wa bukoba huyo)
huyu chura wa wapi huyu?
hatulii akishaona maji
(wa tabata huyo)
huyu chura wa wapi?
anakataa maji, anaagiza maji
(wa ?)
huyu chura wa wapi?
anamwaga radhi kisa kanywa maji
aah
[chorus]
nataka maji, maji (maji)
maji, maji (maji)
maji, maji (maji)
maji ya kidimbwi (maji)
maji ya wavuvi (maji)
ya kunduchi beach (maji)
maji ya chumvi (maji)

[bridge]
churrr, aah
i like it, i like it, i like it
churrr, aah
i like it, i like it, i like it

[post-chorus]
we pablo hushiki
we pablo hushiki
we pablo hushiki
hushiki, hushiki
we ninja hushiki
we ninja hushiki
we ninja hushiki
hushiki, hushiki

[verse 2]
asa mwaga maji
tucheze kama kambale
mwaga maji, tulewe, tugalegale
mwaga maji
tucheze kama kambalе
mwaga maji, tulewe, tugalegalе
asa mwaga maji
tucheze kama kambale
mwaga maji
leo tupo mpaka mishale
mwaga maji
tucheze kama kambale
mwaga maji
leo tupo mpaka mishale

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...