letra de kibango - lava lava
[intro : lava lava]
(hm)
hii party ina mademu bwana (ina mademu bwana)
hii party ina wachumba sana (ina wachumba sana)
eh, hii party ina wachat bwana (eh), (ina wachat bwana)
hii party ina madanga bwana (eh), (ina madanga)
[pre chorus: lava lava]
ningejuta ningekosa (eh), kuja kwenye (hii party)
ningejilaumu (eh), sana (hii party)
eti mulitaka (eh), nisitokee (hii party)
si mngenicheka (eh), sana (hii party)
kwenye masha ndipo (eh), kwenye (hii party)
mwaga watoto bwana (hii party)
nina mapozi ndipo (eh), kwenye (hii party)
kamwaga madanga bwana (hii party)
[chorus : lava lava & diamond platnumz]
(heh), naskia nye-, naskia nye-
naskia nye-e-, nyepesi hii pombe nchanganyie baba
naskia nye-, naskia nye-
naskia nye-e-, nyepesi hii pombe nchanganyie baba
kipablo
pablo haujui? pablo
(m-mr lg)
[verse 1 : diamond platnumz]
ah, hii party inavijii (ina vijiti)
yani jinsi ilivyoshona ndani ntiti nje ntiti
hii party ina mabiii ina mabinti
vitoto vya elufu mbili vilivyonoga mashauzi vipi
eh, bana mi sankaе wapi?
ama ndo nipande juu ya meza? (panda juu yameza)
ama nijе kati moja kwa moja nije kucheza?
sankae wapi ama ndo nipande juu ya meza?
ama nije kati moja kwa moja nije kucheza?
[pre chorus: diamond platnumz]
ningejuta ningekosa kuja kwenye (hii party)
ningejilaumu sana (hii party)
eti mulitaka nisitokee (hii party)
si mngenicheka sana (hii party)
masha yupo kwenye (hii party)
kazimwaga bebe bwana (hii party)
basi yuko kwenye (hii party)
kavishusha vitu bwana
[chorus : lava lava & diamond platnumz]
weh unaskiaje? naskia nye-
naskia nye- unaskia nini?
naskia nye-, nyepesi hii pombe nchanganyie baba
naskia nye-, naskia nye-
naskia nye-e-, nyepesi hii pombe nchanganyie baba
kipablo, pablo, haujui?, pablo
(m-mr lg)
[verse 3 : lava lava & diamond platnumz]
kibango iko, kinakwenda meza ya nani ebu nisomee?
kibango iko, kinakwenda meza ya nani ebu nisomee?
kibango iko, kimeandikwa tajiri nani ebu nisomee?
kibango iko, kimeandikwa tajiri nani ebu nisomee?
eh, kinakwenda meza ya nani? (kibango)
kimeandikwa tajiri nani? (kibango)
mwenye fujo nani? (kibango)
eh-eh, (kibango)]
kinakwenda meza ya nani? (kibango)
kimeandikwa tajiri nani? (kibango)
huyo anaekomesha nani? (kibango)
ee-eh, nani?
(kamix lizer)
letras aleatórias