
letra de najipanga - lamer
-verse1-
najua meseji zangu kila siku sina
zimekuchosha kidawa…
natamani na we upendeze kwa hina
ila pesa ndo chawa….
ile biashara nilo ianzisha maa
huwezi amini isha feli….
zile pesa nlizo bakisha mwenzako wamenitaperi….
mjini natafuta nipo busy…
usione nimekususa usijilize….
shida maaa”
zinafanya mpaka kwenu nisikatize
ohhh mama”
msondo ulo nikuta sikinde…..
-bridge-
amini maisha kilima
kama tuna shuka ati tutapanda…
na usinyongee mutima
miuno chambua ka karanga…..
-chorus-
bado najipanga bado…
-“maa ishawishi familia..”-
bado najipanga bado bado
-“hizi shida mama nawe vumilia”-
bado najipanga bado
bado najipanga bado bado….
-verse2-
“yooohh”
natamani uishi na mi, ila kodi nina lipa kwa kusuasua
mwenyewe si unaelewa…
watoto wa mwenye nyumba wasije kuzingua
mwishoni tukatolewa….
we ndo wa kunifariji moyo w-ngu chotara….
penzi usiwakarbishe wachoyo nkaipata hasara….
“chiiiiii”
aah kidogo kile “kiweke ”
wasije wakile “mabwege”
nikufikishe mpaka chile “ma bebe ”
kwa michezo ya ainogile
-bridge-
amini maisha kilima
kama tuna shuka ati tutapanda…
na usinyongee mutima
miuno chambua ka karanga
-chorus-
bado najipanga bado…
-“maa ishawishi familia..”-
bado najipanga bado bado
-“hizi shida mama nawe vumilia”-
bado najipanga bado
bado najipanga bado bado….
-autro-
aaaah aaah
letras aleatórias
- letra de cv - theodor
- letra de i (prod. by venom) - booda haze
- letra de limbo dance - dj ostkurve
- letra de tajemství - václav neckář
- letra de swerve - sauna youth
- letra de djevojka za jedan dan - arsen dedic
- letra de come find me - brett altman
- letra de we fight/we love (remix) - consequence
- letra de what u need - haan
- letra de (quello che farã³) sarã per te - katherine jenkins