letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de umuhimu - lady jay dee

Loading...

[intro: lady jaydee]
yeah
jaydee
woah, woah
mm-mh

[verse 1: lady jaydee]
ilikuwa mi nakuletea maringo
nayo majivuno niliweka mbele
sikuona umuhimu wako
nilihisi kelele
ulipo sema, unanipenda
mi nilipuuza
ulipo amua, kuondoka
nikaanza tapatapa, ooh
nimechelewa
huwezi kurudi tena
nashindwa hata kuelewa
nahitaji kueleweshwa
ooh, ooh
ooh, my baby

[chorus: lady jaydee]
sasa naona (hey, hey)
umuhimu wako (ooh, ooh)
wakati wewe ‘uko mbali, mbali nami
nak-mbuka maneno yako
natamani wewe ungekuwa nami
sasa naona
umuhimu wako (ooh, ooh)
wakati wewe uko mbali, mbali nami
nak-mbuka maneno yako (kabisa)
natamani wewe ungekuwa nami
[verse 2: lady jaydee]
wasikia kilio changu, ’mbona u kimya?
sitarudia vituko, nitakuwa wako
nahitaji msamaha wako
unisamehe
ooh
nisamehe, unisamehe
kwanini wewе umeondoka?
mwenzio nina tapatapa
ooh
nimechеlewa
huwezi kurudi tena
nashindwa hata kuelewa
nahitaji kueleweshwa
ooh, ooh
yeah, ay, yeah, yeah

[chorus: lady jaydee]
sasa naona (naona)
umuhimu wako
wakati wewe ‘uko mbali, mbali nami (u mbali nami)
nak-mbuka maneno yako
natamani wewe ungekuwa nami
sasa naona (naona sasa)
umuhimu wako
wakati wewe uko mbali, mbali nami
nak-mbuka maneno yako (nak-mbuka)
natamani wewe ungekuwa nami
[verse 3: juma nature]
ripoti hii ifike kwanza kwa dingi mpaka matheri (mpaka matheri)
(?) simu vingine mpenzi havina chaji (havina chaji)
wanakuzuga navyo ili mradi wapate wanacho hitaji (uh)
hao ni waongo wenye hila, washazoea ubakaji (mama yangu)
nili-mind sana kuishi nawe, si uongo
kamwe siwezi kutanga, ni escape wadudu (eh-enhe)
marafiki ndio wamekuponza, waongo, hawafai hata kwa chungu (poa)
uliwaona wanacheka, zile ni njama za kukuteka
kimawazo hata kifikra
na sio wakukaribiana nao, waogope kama ukoma (kama ukoma)
kwa maana hao jamaa wanafiki, hawafai (poa)
wao wana wanacho taka (poa) kutugombanisha tu (poa)
nini kinakutatiza ushindwe kupiga hata stori (eh-enhe)
nilikuambia “nakupenda” mtoto sogea karibu nami (poa)
kuk-mbuka kuwaepuka majirani zako, watani
walio zoea kuvuruga [makochi] ya watu, hata wazima (hata wazima)

[chorus: lady jaydee]
sasa naona (yeah, yeah)
umuhimu wako (ooh, ooh)
wakati wewe ‘uko mbali, mbali nami (uko mbali)
nak-mbuka (nak-mbuka)
maneno yako (oh, oh)
natamani wewe ungekuwa nami (oh, woah, woah, woah, woah)
sasa naona
umuhimu wako (umuhimu wako)
wakati wewe uko mbali, mbali nami
nak-mbuka maneno yako (umekwenda)
natamani (umekwenda)
wewe ungekuwa nami
sasa naona (woo!)
umuhimu wako
(yeah)
wakati wewe (wewe, wewe)
wakati wewe ’uko mbali, mbali nami (mbali, mbali, mbali)
nak-mbuka
maneno yako
natamani wewe ungekuwa nami (yeah)
sasa naona (oh)
umuhimu wako (oh, baby, baby, baby)
wakati wewe uko mbali, mbali nami
(oh, oh)
nak-mbuka maneno yako (ooh, oh)
natamani
(natamani sana wewe ungekuwa nami)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...