letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de siku hazigandi - lady jay dee

Loading...

mmmmmhhh…
aiya yah yah yah yah yaaah…

yote mlosema, mlotenda nasahau
nasonga mbele mangapi
ii yamesemwa mangapi nimeona
mmmh
mliosema,
aaaah
nasonga mbele mangapi
ii yamesemwa mangapi nimeona

aih!! nimesemwa sana jamani
hamchoki?

hihiihiii

yote mlosema, mlotenda nasahau
nasonga mbele mangapi
ii yamesemwa mangapi nimeona
mmmh
mliosema
aaaah
nasonga mbele mangapi
ii yamesemwa, mangapi nimeona

nadhani hamyajali
maumivu yangu moyoni
na wala hampendi
kw-ngu yatokee mazuri
haata nisiowategemea
leo hii mmenigeuka
haata nilio waheshimu
leo hii mnanihuk-mu
kila mtu ana dhambi
msijihesabie haki
kusemwa semwa sitaki
hakuna alie msafi

yote mlosema, mlotenda nasahau
nasonga mbele mangapi
ii yamesemwa mangapi nimeona
mmmh
mliosema
aaaah
nasonga mbele mangapi
ii yamesemwa mangapi nimeona

yote mlosema, mlotenda nasahau
nasonga mbele mangapi
ii yamesemwa mangapi nimeona
mmmh
mliosema
aaaah
nasonga mbele mangapi
ii yamesemwa mangapi nimeona

sijali maneno yenu
kwani kuna hata magazeti
sijali visa vyenu
havifanani vya ukweli
ni potofu fikra zenu
msokaa kufanya yenu
kunijua sana undani
siwaapi tena nafasi
oooh siku hazigandi
hata mseme mangapi
kila mtu ana dhambi
hakuna alie msafi

musical interlude…

nadhani… (nadhanii)
nadhani hamyajali
maumivu yangu moyoni
na wala hampendi
kw-ngu yatokee mazuri
hata nisiowategemea
leo hii mmenigeuka
hata nilio waheshimu
leo hii mnanihuk-mu

yote mlosema, mlotenda nasahau
nasonga mbele mangapi
ii yamesemwa mangapi nimeona
mmmh
mliosema
aaaah
nasonga mbele mangapi
ii yamesemwa, mangapi nimeona

yote mlosema, mlotenda nasahau
nasonga mbele mangapi
ii yamesemwa mangapi nimeona
mmmh
mliosema
aaaah
nasonga mbele mangapi
ii yamesemwa, mangapi nimeona

music interlude.

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...