letra de dounia - lady isa
sakana mama, keba na la vie
basala kala basuka na finale
sakana mama, keba na la vie
basala kala basuka na finale
oooh mwanangu dunia ina mambo
sikia maneno nakuambiaga
mpe roho yakoo mola wako
heshima kwa wazazi eeh mwanangu
dunia hii mama
luk-mba luk-mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
dunia hii mama
luk-mba luk-mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
chunga mwenzio atakudanganya
kwa yoyote ile atapenda yeye
kipenda rohoo kila mtu na yake
yake ni yake na yako ni yakoo
dunia hii mama
luk-mba luk-mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
dunia hii mama
luk-mba luk-mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
mwendo wa kobee
mayelemayele
mwendo wa chui
kuwindawinda
mwendo wa nyoka
luk-mbaluk-mba
mwendo wa ngalama
kwa njia ya paradii
dunia hii mama
luk-mba luk-mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
dunia hii mama
luk-mba luk-mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
taabu na raha ina kungojea
inategemea akili yako
tafuta eeh… utapata eeh
k-mbuka maneno nakuambiaga
dunia hii mama
luk-mba luk-mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
dunia hii mama
luk-mba luk-mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
chunga mwenzio atakudanganya
kwa yoyote ile atapenda yeye
kipenda roho kila mtu na yake
yake ni yake na yako ni yakoo
dunia hii mama
luk-mba luk-mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
dunia hii mama
luk-mba luk-mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
taabu na raha ina kungojea
inategemea akili yako
tafuta eeh… utapata eeh
k-mbuka maneno nakuambiaga
dunia hii mama
luk-mba luk-mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
dunia hii mama
luk-mba luk-mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
sakana mama, keba na la vie
basala kala basuka na finale
sakana mama, keba na la vie
basala kala basuka na finale
letras aleatórias
- letra de invisible (piano version) - gabrielle aplin
- letra de what's beef - iván cano
- letra de i'm not okay *i promise* - willow
- letra de glass house lover - the other realm
- letra de dentro del círculo - unaussprechlichen kulten
- letra de primer - psycrow
- letra de have it so - shireen
- letra de vampir modus - myng
- letra de leggo mi hand gateman - josey wales
- letra de wsw - t.d.s. fazoo, yafavjae