letra de roho chuma - la familia (ke)
[intro]
ulopa ngoma aha aha
[chorus]
wanipende wanichukie
nispendeze nivutie
mi napiga deal zangu safi zote mikakati
roho chuma ah
hakuna kurudi nyuma ah ah
wanipende wanichukie
nispendeze nivutie
mi napiga deal zangu safi zote mikakati
roho chuma ah
hakuna kurudi nyuma ah ah
[verse: 1]
tai na suti ofisini ndo niduu mziki
inalipa lakini mziki ina more riziki
safi na machungu dafra
hustler kama soldier siku moja utavuka border
verse tight mziki wai na chote ni mine
uniniomba watch see then it my time
watiaji nami oil na maji
ushawahi ona wapi supu ya maini na viazi?
hustle doo unga jo chora doo pata more
pata biz fanya biz
hakuna biz uza biz?
usifanye blunder utapata dollar imepanda huh
hapa ndo kwao, hapa ndo kwetu
nairobi shamba la mawe na tunalima inalimika
kufunika? mbaka dod
lafamilia ndo street na mi ndo balcony
[chorus]
wanipende wanichukie
nispendeze nivutie
mi napiga dеal zangu safi zote mikakati
roho chuma ah
hakuna kurudi nyuma ah ah
wanipende wanichukiе
nispendeze nivutie
mi napiga deal zangu safi zote mikakati
roho chuma ah
hakuna kurudi nyuma ah ah
[verse: 2]
sometimes i buy the liqour just keep in the play
inhale shashamane just to release the pain
you can call it temple beneath in the membrane
i call it mental_verse nothing remains the same
mama zuu, jomo kenyatta straight on the barner
whats the use? see success after the struggle
forget the gym i flex the lyrical muscle
daydream? we’ll occupy your hustle
get the tool, jikakamue upate yako
kwa njia inayofaa usipokonye mwenzako
hamna raha ka haukuvuna jasho yako
mistaree na peteshe sako kwa bako
ndo mi nasaka doo kenya shillingi ndo witness
jua ile healthy bank account physical fitness
lafamilia 254 we the realest
roho chuma ulopa ngoma kibeat
[chorus]
wanipende wanichukie
nispendeze nivutie
mi napiga deal zangu safi zote mikakati
roho chuma ah
hakuna kurudi nyuma ah ah
wanipende wanichukie
nispendeze nivutie
mi napiga deal zangu safi zote mikakati
roho chuma ah
hakuna kurudi nyuma ah ah
[verse: 3]
wanipende wanichukie
kazi mi na mimilia
mi huchunga policia
juu usipo hustle ni hatia
toka nduki toka mia
we shall not play its mboka here
toka, si huchoka sana as for boka
uliza d pahali tumetoka
its the talk nyakutokwa
za ovyo? wapakwa
k-mbuka hali yakustuka
mistari ka sutra k-menuka
jeshi ama tube na malugha
mafikra za lex luther
its affair shubashuba
tosha bado si huswitch lanes ka kwa rasa ka posha
caution we call this extortion
please one time i found my boy’s girl on her knees
you tryin telling me no pretenders in this industries
its you who make your life get it right this how it is
its the sixth sense to get the cheddar cheese
we get the cheddar cheese bruh
[chorus]
wanipende wanichukie
nispendeze nivutie
mi napiga deal zangu safi zote mikakati
roho chuma ah
hakuna kurudi nyuma ah ah
wanipende wanichukie
nispendeze nivutie
mi napiga deal zangu safi zote mikakati
roho chuma ah
hakuna kurudi nyuma ah ah
letras aleatórias
- letra de get the most - paddy
- letra de happy pizza friends friends - friday giants
- letra de no apologies - cj! the singer
- letra de thank god - rjmrla
- letra de anamız babamız yok deriz - dolu kadehi ters tut
- letra de swang n’ bang - kirko bangz
- letra de bells ring (acoustic version) - mazzy star
- letra de baby blue jeans - kid advay
- letra de la reina - ana victoria
- letra de obligao - luigi 21 plus