letra de madharau - kwamzie
Loading...
mama ninalia
njoo nik-mbatie
moyo waumia nifarjee
tadfadthali nik-mbatie
mwenyewe siwezi
njoo nisadie
ulionionye mie
siku kuskia
huyu amenidharau
nitatambea nawe
nitasimama nawe
mapenzi yako siya fananishi na yeyote
yeyote, yeyote, yeyote
yeyote, yeyote, yeyote
yeyote, yeyote, yeyote
mama njoo nik-mbatie
ni miminie mapenzi yako
umenijali siku zote
mapenzi yako siya fananishi na yeyote
yeyote, yeyote, yeyote
yeyote, yeyote, yeyote
yeyote, yeyote, yeyote
nitatambea nawe
nitasimama nawe
mapenzi yako siya fananishi na yeyote
yeyote, yeyote, yeyote
yeyote, yeyote, yeyote
yeyote, yeyote, yeyote
ulionionye mie
siku kuskia
huyu amenidharau
no more madharau
letras aleatórias
- letra de as i leave you - buffalo sun
- letra de presence and protection - eden's bridge
- letra de futuristic avenue - trey mash
- letra de cohibas, blauer dunst - kollegah
- letra de in the sun - ralph lawren
- letra de hon ser inte mig - peter jöback
- letra de try a little tenderness - mel tormé
- letra de luta - síntese
- letra de moja droga - białas
- letra de still - case arnold