letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de huyu hapa - kusah

Loading...

[verse 1]
mara paap paap
penzi limekwisha nimebaki peke yangu
ooh nitalia kwa nguvu, garagara na kuzimia
thanibeba inzobe mzobe, kilio ka mtoto mapenzi

na kikizinduka (juu juu)
naenda kukuroga nakuekea (juu juu)
nalichanganya na kukoroga
kama kukupenda (nakupenda)
na kama nikuzama (nimezama)

[chorus]
yule mpenzi (huyu hapaa)
je t’aime baby (huyu hapaa)
motema na ngai (huyu hapaa)
rukunfo wanje (huyu hapaa)
yule mpenzi (huyu hapaa)
je t’aime baby (huyu hapaa)
motema na ngai (huyu hapaa)
rukunfo wanje (huyu hapaa)

[verse 2]
k-mbe kuna mambo sijaona
na utuuzima w-ngu
napigishwa deki, nalambishwa, napanda mlima
kwako bwege hii mechi nimezidiwa
ukizidisha, naanguka, n-z-mia naa
[pre chorus]
na nikiziduka (juu juu)
naenda kukuroga nakuekea (juu juu)
nalichanganya na kukoroga
kama kukupenda (nakupenda)
na kama nikuzama (nimezama)

[chorus]
yule mpenzi (huyu hapaa)
je t’aimе baby (huyu hapaa)
motema na ngai (huyu hapaa)
rukunfo wanje (huyu hapaa)
yule mpеnzi (huyu hapaa)
je t’aime baby (huyu hapaa)
motema na ngai (huyu hapaa)
rukunfo wanje (huyu hapaa)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...