letra de tangu nimjue yesu - kurasini sda choir
Loading...
tangu nimjue yesu na k-mkaribisha moyoni mw-ngu
yalopita yamepita na kuvaa utu upya ndani yangu
sijitahabishi tena ya kale hayana nafasi kw-ngu
nimevikwa utu upya nimekuwa kiumbe ndani ya yesu
utu w-ngu wa zamani umevikwa na kuvaa utu upya
sik-mbuki ya zamani yesu yu ndani yangu
nakimbilia wokovu kwa sasa yalopita yamepita
dunia kwaheri yalopita yamepita
maisha ndani ya yesu ni raha isiyokuwa kifani
magumu hurahisishwa yatoweka kwa jinsi usivyojua
mambo yote ya zamani hayak-mbukwi tena maishani
mpe yesu moyo wako utaona yote yanawezekana
letras aleatórias
- letra de look in the mirror (bonus track) - ryan adams
- letra de дога (doga) - white q
- letra de friends (snowstorm remix) - alaska sargent
- letra de nottingham - flexlikeale
- letra de fuck up - lonevate
- letra de niemy krzyk - pprzybysz
- letra de spiral staircase - daniel cave
- letra de obsesión! - holics
- letra de green lantern - ttorrak
- letra de lo lograré mañana - juanubal