letra de nimechafukwa - ksonrap
[intro]
ksonrap
yeah!yeach
ahhhh
[verse:1]
wanaoni attack wanao ni handaki;
waniskii kwenye biti za salii na della funk;
kwenye cycle yangu hakuna waki;
bonge la bati hatucheki charlie champlin
wala comedi za basati,nyie ma young..
mnaojiona making..baada ya chid kuwa junkie;
nakinukisha kama bangi;
usiletee upimbi.. kwenye maswala ya shilingi mi mangi;
uliza cassblack navyo run.. mitaa flani ya jobegi kama randi..
popote kambi kiuwandishi mahatma gandhi..
naona fid yupo na chino.. wanna man wanakata mauno kama kangi;
unachafua hali yahewa kama mange..
walete kati wakalie middle finger chimakeke..
wapo naija wanacopy amapiano wazee wajeje..
nyie machawa tu mtapiga sana debe..jua kali uza genge;
baada ya mtambo mi ndo mfalme naeitawala kigamboni..
kunzia geza mpak dege..na dawa nikuwatembezеa mpini hawa majembe..
nasitoacha kuiwakilisha kino.. ukizingua navunja taya.. nahakikisha umetapika pia na jino..
sio mandonga tu kwahiz panch ananiogopa pia mwakinyo..
wanajiita mcee wakati ni watupu kama madеncer wa casino..
wakitoa kanda mseto sampuri zibuma kama shino..
letras aleatórias
- letra de stålfågeln - ståålfågel
- letra de angel.lust - kawai sprite
- letra de bone wrought - undeath
- letra de cool candy - kati, llovely
- letra de shout [the forgotten remix] - scandroid
- letra de split - вульф (vulf) & schizogoth
- letra de kapuljača stil - thcf
- letra de breaking and entering - lil sandal and gavin bmx
- letra de one in a million - melanie durrant
- letra de can we have a conversation? - gentle bones