letra de nchi yangu - ksonrap
Loading...
nchi yangu ibarikiwa milima mabonde bahari na maziwa;
ardhi yenye rutuba kwa kilimo cha mpunga mahindi maharage mpaka miwa, uwoto wa asili ;
ufugaji wanyama kama ng’ombe mbuzi na ndege kama njiwa;
historia za machief wakati wa ukoloni nakabla hatujatawaliwa ukija utahadithiwa;
pita bagamoyo zanzibar mpak kilwa;utapata vinjwaji asilia kilimanjaro kuna mbege korogwe kuna ulanzi mn-z- mpaka piwa;
bungeni kuna siwa, madini yakila aina tumetunukiwa;
hakuna ukabila ukija hauto baguliwa,amani na upendo hauto bugudhiwa;
watu wake majasiri kama kijana majaliwa;
inabidi tuwe wazalendo tulinde nchi mali nisije zikaibiwa;
sio tu flyover ndege za abiria na mizigo zimeisha nunuliwa;
letras aleatórias
- letra de bang that drum - nabiha
- letra de proud - 070 shake
- letra de edacity - complicated ft. yungjzaisdead (prod teen pregnancy) - edacity
- letra de de lejos - jackie mendoza
- letra de blessings (freestyle) - king los
- letra de nemoj doći, ne - seka aleksić
- letra de he (broken-heartedness is contagious) - animo kunst
- letra de enigma - bimoud
- letra de stressin' - j frosty
- letra de uma flecha para o futuro - castello branco