letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de katiba mpya - ksonrap

Loading...

katiba mpya ni sasa haina ngoja ngoja;
tushirikiane wote sio moja moja;
nipo mstari wa mbele kama jaji warioba;
nchi yetu nitajiri tusiwe omba omba;
chonde chonde wizara ya katiba na sheria;
raisi wetu mama samia;
sikia kilio hiki cha watanzania;
tufanye maamuzi tupate na tume huru ya uchaguzi;
tanzania mpya katiba mpya;
kama lisu safari mpaka kieleweke;
nawashika sana bango;
mapendekezo mapema tuanze mchakato;
kazi iendelee kote sio dodoma tu na chato;
wananchi wabunge wanasiasa wanasheria;
mahakimu hadi majaji wote tuungane;
tupate katiba mpya;

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...