letra de uwi - klassik nation
mike zero
kama mtoto na peremende;
kweli moyo wanikata wembe;
wanitia joto tena mimi mzembe;
mkulima ndoto tena niko na jembe
sina budi bali kukuambia;
najikaza misuli tena navumilia
kingpheezle
ate onyirira bityaa
mukama yakugemulira neera
nga ate oli na mukyaamu
onyirira bitya buli muwala akutyaaaaa..,
how could ya know my mind got stuck by you gyal
super platinum but ma value is in you…ye eeh…
pon yo body mi a boda boda rider
nakudata tena kw-ngu si kawaida saida
ama unaitwaga halima
salima, salam zangu zikufikie eehee…
don santo
ah uwi uwi;
moyo wapenda na nafsi ishapenda, aaaah
ah uwi uwi;
moyo wapenda na nafsi ishapenda, aaaah
badman k!lla
ona haka kandege kajileta kwa kiota
kali ringa ringa, nami pia nikanyeta
klassik time!
loving, forgiving and living my life like is no time!
tena siwezi kulalamika mola kanipa zawadi;
katoto yaani pretty pretty;
lazima nikalime miti;
she my lady!
she my babе!
don santo
ah uwi uwi;
moyo wapenda na nafsi ishapenda, aaaah
ah uwi uwi;
moyo wapenda na nafsi ishapеnda, aaaah
don santo
oh kalpop music to the world! oh oh eh yeah!
ooh! klassik nation yeah!
blessings! blessings! blessings!
letras aleatórias
- letra de got to get away - bananarama
- letra de dresscode - sevn alias
- letra de keep it rockin' - luqa
- letra de dark tropical - barrie
- letra de dices que te vas - karol g feat. anuel aa
- letra de flight (비행) - cheetah (치타)
- letra de on your own - bananarama
- letra de hath diyan leekan - yash wadali
- letra de kalank (bonus track) - arijit singh feat. shilpa rao
- letra de el tanke - el taiger feat. dj conds