letra de mara moja mbili tatu - kingsmainamssteve
(intro)
its a new day baby wake up utachelewa kwendaa kazinii eeeeeeeh,kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu, nasema tena nipee mara moja mbili tatu, tafadhari baby nipe mara moja mbili tatu, cunipee, cunipeeeeeeeeh
(chores)
kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu, nasema tena nipe mara moja mbili tatu, tafadhari baby nipe mara moja mbili tatu, cunipee, cunipeeeeeeeeh, kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu, nasema tena nipee mara moja mbili tatu, tafadhari baby nipe mara moja mbili tatu, cunipee, cunipeeeeeeeeh
(verse 1)
mi ninampago leo leo, tunadunda nawe, tulipatana juzi na katiba tuchasoma ,ukanipeda, nikakupeda ,mtaani nishaigizia nawe,picha tushapigwa,kila mtu anajua wewe ni w-ngu eeeh, pete kufa kupona tushaapa tusiachane milele daima dawamu,watani wananiita kipaza sauti ni nyimbo moto ninazoiba,mapezi moto nishakupa ,mziki, tushasheza naweeh, wee queen,sema jina langu boss baby wa nguvu oooooooh
(chores)
kwanza nasema nipе mara moja mbili tatu, nasema tena nipee mara moja mbili tatu, tafadhari baby nipe mara moja mbili tatu, cunipee, cunipeeeeeeeeh, kwanza nasеma nipe mara moja mbili tatu, nasema tena nipee mara moja mbili tatu, tafadhari baby nipe mara moja mbili tatu, cunipee, cunipeeeeeeeeh
(verse2)
ati maisha raa,twende mombasa tukakuree raa ,sahau shida ni kwa muda darling, naamini kwa utaratibu , kampala zimbabwe kote kote ,please ,please baby girl cheza ka wewe wacha kukazia mmmmh
(outro chores)
kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu, nasema tena nipee mara moja mbili tatu, tafadhari baby nipe mara moja mbili tatu
cunipee, cunipeeeeeeeeh ,kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu, nasema tena nipe mara moja mbili tatu, tafadhari baby nipe mara moja mbili tatu cunipee cunipeeeeeeeeh
letras aleatórias
- letra de born 2 win - bri-real
- letra de forest fire - satellite sea
- letra de gone - cj vana
- letra de hate - fake history
- letra de heartless - adam turley
- letra de intro - scylla
- letra de now that i've seen her - claude-michel schönberg
- letra de guta - halba
- letra de soixante-4 - jelyh
- letra de mad at me - cijanai