letra de hatuuzagi - kingsmainamssteve
uko nje nimeskia wakisema ati hatuuzagi eeh hata hatuuzagi hii tunauza ni wewe nawauliza tena hii tunauza ni wewe hii dio barua yangu na iwafikie wao
nikianika nguo zangu hapa chini cianiki jua dio zikauke naanikia customer zangu wapeda kazi yangu amenunua longi amenunua viatu wamenunua kofia vinyasa nimefugua duka amenunua chovi mafuta uga ya gano wamenunua masoda namwamini mungu nisipouza leo kesho ni siku kesha ukiniroga mimi na kesha na mungu w-ngu anibaliki zaidi unatamani nizikwe nikiwa uhai hiyo ni ndoto ya mchana my friend mkiniona na baiki ama kaduthi kangu nikiuza bithaa zangu heshimu kazi yangu ni kama ile ingine mimi nimejiajiri wewe umeajiriwa nani ako mbele pamoja
uko nje nimeskia wakisema ati hatuuzagi eeh hata hatuuzagi hii tunauza ni wewe nawauliza tena hii tunauza ni wewе hii dio barua yangu na iwafikie wao eeh
uko nje nimeskia wakisеma ati hatuuzagi eeh hatuuzagi hii tunauza ni wewe
mimi na bidii zangu za kila siku naigia sokoni natadaza nyanya ngunia napaga nyanya zangu suk-ma zangu kitugu matunda aina balibali avocado cabbage jua imewaka woiye vitu zangu zitahalibika mungu ni nani wamezinunua vitu zangu zote hiyo ni kidole siku yangu lmejaa customer wengine ni wazuri
uko nje nimeskia wakisema ati hatuuzagi eeh hata hatuuzagi hii tunauza ni wewe nawauliza tena hii tunauza ni wewe hii dio barua yangu na iwafikie wao
uko nje nimeskia wakisema ati hatuuzagi eeh hata hatuuzagi hii tunauza ni wewe hii dio barua yangu na iwafikie wao
mvumilivu hula mbivu siku zote ndugu dada majirani zangu mwamini mungu sio binadamu eeh
letras aleatórias
- letra de hypnotize her - madgator
- letra de olhos loucos - half drilled
- letra de simplesmente aconteceu - chiara civello
- letra de nowhere left to go - joshua hyslop
- letra de minha pequena - gian e giovani
- letra de água doce - roberta sá
- letra de olhar de prata - glaucia nasser
- letra de latinoamérica - maria rita
- letra de kiss it goodbye - miley cyrus
- letra de nova vida - gerson rufino