letra de can i upload music - kings and princes
Loading...
artist; madogo music band
song: sura nyota mp3
intro verse: by rosha
sura nyota darling w-ngaa
umependeza kweli kifaa
umeutuliza w-ngu moyo
kwa mahaba na majonjo
i won’t let u go
wee ndo w-ngu malkia
hook–
katu sitokuacha
nitabaki nawe hadi kilele
–kilele….kilele..
katu sitokuacha
nitabaki nawe hadi kilele
–kilele…kilele..
verse 2: by anderxo
kale kapenzi katam ulonipa jana
nakawaza sana usiku na mchana
umeniziba mboni wengine sioni
umenishika moyo wengine sitamani
eeee
hook–
katu sitokuacha
nitabaki nawe hadi kilele
–kilele….kilele..
katu sitokuacha
nitabaki nawe hadi kilele
–kilele…kilele..
outro–
letras aleatórias
- letra de nick don't break the law - bito sureiya
- letra de el nino del tambor - villancicos navideños
- letra de le blues du businessman - maximilien philippe
- letra de sen alkoholika - sedes
- letra de akira - karus
- letra de lovefool (live) - the cardigans
- letra de how am i supposed to live without you - simion luca
- letra de corbeaux - cause commune
- letra de uti - fellatia geisha
- letra de falschi gschichte - elijah (ch)