
letra de ndoa - king kerby
uko kwa ndoa nami whoa whoa whoa
uko kwa ndoa name yeah yeah
wakikuita, wakiuliza
usiogope, kuwaambia
uko kwa ndoa nami, uko kwa ndoa nami
oooh
wakikuita, wakiuliza
usiogope, kuwaambia
uko kwa ndoa nami, uko kwa ndoa nami
ooh
bado hatujajuana lakini manze inasemekana, kwamba mimi nawe, tunawezana
kwa hivyo njoo, tufunge biashara
nataka kuenda kwa mama, nataka kwa baba
nataka kupata baraka kwa baba, you don’t even know
how i be fighting for love every summer
natoa sadaka kwa mola, furaha kwa moyo, baraka, fanaka, faraja
nataka kuvuka daraja, vuka daraja, kutoka nairobi namanga
daresalaam to kampala, addis ababa, don’t see n0body, half as amazing
you see the vision, no competition
oooh
wakikuita, wakiuliza
usiogope, kuwaambia
uko kwa ndoa nami, uko kwa ndoa nami
letras aleatórias
- letra de filho da lua - grupo reduto
- letra de duyen phan - duong hong loan
- letra de i did it - zariah avana
- letra de pitas de dreads - easy gun click
- letra de playback - eliane silva
- letra de fast money fast life - 18karat
- letra de ngisize nkosi - blom
- letra de boomerang - six
- letra de la vie est belle - pnl
- letra de jamás abandoné - laura pausini