letra de dear stranger - king kaka
[chorus: xenia manaseh]
you should know that i would be
right here for you, for you
now that i’ll be there to watch
your dreams come true, come true
[verse 1: king kaka]
dear stranger ndio nimeingia kwa booth
hii mdomo hai-shake so nitabonga the truth
the wall iko na new photos sijui ka mmenotice
lazima waenjoy vita ndo waenjoy for peace
dream is born na womb ni ya rabbit
lupita kuongelea hardwork kwa speech ya dreams are valid
that chapter is done sitadeny ki u-petro
zile favours nimewaletea sijawai itisha ata kredo
and i never ask anything in return both
all i wish for ni tuwe na blueprint ya growth
tulifurahi aje mavoko alichukuliwa na wasafi
so talented siamini walikutema wasafi
you called me time mlikosana na wasafi
talk to dia hope mliachana roho safi
avril farewell naona mtoi amekuwa anabonga
i wish you nothing but the best vile miaka inasonga
[chorus: xenia manaseh]
you should know that i would be
right here for you, for you
now that i’ll be there to watch
your dreams come true, come true
[verse 2: king kaka]
we are created to disagree, no need lawyer deal na case timmy congrats on your headphone deal na pace
plans tulikuwa nazo hope utafollow mdogo
si uk-mbushe watu vile nilidesign hio logo
vile nilishare watu walisema thats stupid
nilikuwa nimebeba talents nimebeba arrows ka cupid congrats on your album hatua karibu ligi
hizo hatua umechukua si ni biggy biggy
just the other day nilicall jalas tupush digi digi
na ni welcome kw-ngu mplay na irosh na jeezy
family bado ndio order of the day
never had bad intentions ka song ya dre
na vile floor ilicrack na sina simiti iniume niaje
move to other things ilibidi niwaache
hii gl-ss either jua ni half
phi congrats on the baby you are about to have nilishaipea comp-ss naomba uende mbali
juzi tu ndo tulishoot video ya ruka na khali
[chorus: xenia manaseh]
you should know that i would be
right here for you, for you
now that i’ll be there to watch
your dreams come true, come true
[verse 3: king kaka]
zile migraine ninazo mara moja haiwezi ficha
doc anasema ni vile nimebeba crown kwa kichwa
pascal after selina lazima album yetu
actor mnoma wakuone ka singer na pray tu
let it run in your genes na isifail tu
vile niko na midomo mingi kwa masikio waambie wabrush waambie vile uko kwa adioremy na account iko na cash promise ziko kwa contract na pia kwa midomo ata uhame leo sitawai wacha kushika mkono
messages mnatuma saa zingine na blueticks
sunday mi huzirhyme isha na blue jeans
oya nani and your father got sick i made sure uko na doh ya hosi
wacha vile sai uko kwa circles saying hazitoshi nasuk-ma suk-ma vako ya matonya
yaani sai mtoi anasahau mat-ti alinyonya
my view haitaja ichange niliona kitu special
by the hand that feed you na kuna lunch kesho
no bad blood tuingie studio tukachora maline
dear friend nimek-miss nicall sometime
you should know that i would be
right here for you, for you
now that i’ll be there to watch your dreams come true, come true
you should know that i would be
right here for you, for you
now that i’ll be there to watch
your dreams come true, come true
letras aleatórias
- letra de i wonder - the butterflys
- letra de ai - cripple mr onion
- letra de outta time - yanny
- letra de fino a baciarmi il collo - ela (ent.)
- letra de in high gloss. - katori walker
- letra de how you know - 24kgoldn
- letra de labios rosados - dalex, wisin & yandel
- letra de waste your love - yuka (singer)
- letra de mara - maruv
- letra de ammunition - xeox