letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de totalitarians - king ceejay

Loading...

seven
seven
seven

ahh yeah –

i was on my mind nilidhani nlikuanga na trip
yeah wait noma ilikam nilikuanga na paint my future bright me sio mzuri but niko kwa light
– – text na capitalize jina ya god eey
next cap iyo metaphor ….

” wanakuja sana kama mishale ”

question ni why ? mbona una cause this ?
lakini najua this ilikua ihappen this
who is your trustee? eyy
why talk about this ? eyy
why joke about this ? eyy
kwani huoni change these days ?
who is to trust these days ?
why do they fake these days ?
ati ni dooh ime prevail !
ati ni god na ni invain…
ati kwa mind hio peace state
ruin your peace u ishi kwa estate
buda your mind ni asset
wacha kuloose your asset
before ufike kwa casket
make sure utafeel iyo sunset
hio kitu lazima niwish …
make sure unajenga katiba
niliambiwa kwenye kuna nia ati kuna njia
but kuna njia usiwahi pitia …..a trap

words ni costly eyy
watch out for me all days
i am okay not okay kuna mamambo siwezi obey

aii…

i was okay before you came –
totalitarian ,economy worse
wameinfest i mean the worst
this is the past lakini inakam
nasa the days hii ndio the test
i mean im seeing only a seven

i mean i mean niko offended
huezi ona vile wana duu
huezi ona vile ni flu

saai wanakaza the truth
saai wako kama ma team
saai wako kama majini
saai wanapanga crisis
saai hawasemi nice things
saai wamekua ma vi kings
totalitarians …..sasa ona ( aarrgh )
kila kitu kila mtu amekua kaa product !!!!

maskini anakosa ana loose anakunywa yenye ilibaki lakini uyo bombe ana pop that booze

naskia wana gather is it ? wef –
naona wame change laws facts
son of perdition in fact
wanapush the truth out of the the order
this is a wicked disease……

ati na violate saizo ata niko late ?
kama unajua true story
watakuja na mastory then walete worries
kama huko rada utabebwa na iyo section
speaking prophetically – yes !
wewe unadhani hii ni joke yes ?
wait untill uta ona iyo mess
lakini natry kukushow the best
best of life ndio uki chill uko blessed
i am the king need to tell the best
i can say and let you digest
from the mess – yes !

i mean yes ?

written by king ceejay
state of lords empire

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...