letra de ona mbele - king ceejay
eeyyy eyyy
life inakuanga na chenga
saazingine siu relax saa zingine siu think twice saazingine siu talk less saazingine siu observe saazingine siu speak up ! saazingine siu give up io pride ndani ya heart !
saazingine siu swallow all your sorrow kwasababu kuna watu na viatu wanataka kukanyaga ukiwa bila itabidi unajichunga
hakuna mtu atakuchunga uspojichunga
ona mbele ona mbele ona ona mbele ona mbele
me nataka be okay
i was on my ceiling four twenty
i was in my feeling no doubt
i was okay no foul
nk-mbuka nlikua na talk about
mahali just safe nitafeel my crown
n-gga me fresh i follow my lane
leo me na obssess
im on my best
i need the bag lazma ni focus
i need my mind on its best level eyy
utafika lini neeeeext
utafanya nini beeeeest ?
im on your favourite mix yeah
back to home
i was just saving my words
ndio nipate time atlast
maybe nitakua nablast ahh
yooh kwani hai pass ? eyy yoo
izi umetoa ? wait eyy
message i pass , maybe relax
i was the man nilikuanga nataka kukua
eyy
saizi nashine kaa jua
manze naitreat kaa dua
negative thoughts naskwash
me im so done with that
nilikua in control
so nika drive my ship
all of my fears all of my doubts
all of my strength then nikajikaza
with all my help ni god[jesus christ]ofcourse sikuanga alone . yoh
hata heri ustick na facts
kama untaka jenga life
lazima ujue ku decide
whatever comes on your way
most of the things hazi favour your way
but infact ukistick na work
building your heart building your mind
building your soul
n0body knows what’s in your soul !
you need to be real with yourself eyy
huezi danganya yourself
eey
shout out to everbody true, you deserve it !
kama unafocus you’ve still earned it !
bado sjachoka me ndio karani
i was a leader kutoka zamani
so me nadhani unajua ni king
thats why nakuk-mbusha life ina meaning
life inakuanga na chenga
saazingine siu relax saa zingine siu think twice saazingine siu talk less saazingine siu observe saazingine siu speak up ! saazingine siu give up io pride ndani ya heart !
saazingine siu swallow all your sorrows kwasababu kuna watu na viatu wanataka kukanyaga ukiwa bila itabidi unajichunga
hakuna mtu atakuchunga uspojichunga
ona mbele ona mbele ona ona mbele ona mbele
written by king ceejay
state of lords empire
letras aleatórias
- letra de picture this - polo g
- letra de silenzio - haze
- letra de through da storm - polo g
- letra de amen - congress musicfactory
- letra de un momento - koorosh
- letra de the great defender - lindsay lou & the flatbellys
- letra de live like me - sarah mayfield
- letra de pull up - nxbdy
- letra de Jylo Manise Lyrics - Jihan Audy
- letra de pokeson - two gods