letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de diamonds - king ceejay

Loading...

nina mindset niko na brains
niko on my way my lane my aims

mara moja haiwezi kupatia gain

kwa hizo vitu unafanya una gain?
hatuwezi kufanana im certain

i was in a place niki avoid paranoia
and i will never follow negative my foot
enough with the sayings …
skuizi hakuna saints
skuizi sio wengi wakona moyo !
k-mbuka hayo uweke kwa moyo

whats your thing ?
me naji penda -sheesh
dai kua finalist
i know that im a beast
bado najiona least

izo mambo unaskia unakubali
izo mambo unaskia haziko shwari
izo mambo un-z-jua niko sure
just be yourself- naeza ku assure
do your best kua na kifua
chunga your lanes
shade ni less
manze kuna jua
so me najijua eey
sio me nastua eey

kosa kugundua- maybe hutajua !
kwani hujui you are to shape your views ?
uwongo ni mingi – blinding truth

time iki simama na sio stachu
sisi wote na maswali nani atakujibu
sisi wote bindamu nani akona jibu
when are you to realize wewe ndio life ?

eeey

jijenge your best you know the best
ata kue kunoma always the best
‘chana na the rest but usi rest
chance huw-nga narrow
usidhani we ndio una kifua pekee
usidhani we ndio unajijua pekee
lazima u learn
lazima u grow
lazima u plan
lazima u run
lazima u try
lazima u wait
lazima in pain
lazima insane
lazima you pray
lazima you can
mbona diamonds hujengwa na pressure ?……..
eyy eyy eyy
look !

is your faith in god ?
is your heart at home ?
is your heart at the place …
where its amaizing ?
whats your hope without the things
you love in life ?
what about the things you say
you have about your time ?
what you doing, define ?
me napiga mziki !
i used to want niwe my shabiki !
ceejay ni king hakuna ka-ma mimi
paint iyo picture kaa grafiti
i set my standards ati nime panda
naskia ni battle kungfu panda

this one goes to all of you my fam !
sijiumize bure tunafanya kazi
ndio iyo tumbo ikae vi fine
conflict ndio divide . lets avoid divide
sikutoa jasho nikifikiria….
kitu just positive unaeza jiaminia
bado niko hussle me naji aminia
huezi jua life ,penye nia kuna njia eyy
lazima ulearn
lazima u grow
lazima u plan
lazima u run
lazima u try
lazima u wait
lazima in pain
lazima insane
lazima you pray
lazima you can
eyy ceejay king
state of lords empire

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...