letra de mdumange - kinata mc
intro
weee nesco mtu mbadi
aaaachi aaachi aaachi aaaachi aaaachi aaachi aaachi aaaachi aaaaachiaaaaaa
talent kinataaaaa mciiiiiiiiiiiii
na captain wa bongo flavor
weee aaaacha wee aaaacha wee aaaacha aaaaaaaah
chorus
mama wee tulia nyumbani tucheze mdumange leo
baho baho baho baho mdumangeeee
irene uwoya utulie nyumbani tucheze mdumange leoo
aaaah salami asalamiaaa asalaleeeee
wee gigy money utulie nyumbani tucheze mdumange leoo
baho baho baho baho
baho baho baho bahoooooooo
wema sepetu utulie nyumbani tucheze mdumange leoo
alah
cheza mdumangeeee weee mdumange leoo
tucheze mdumangeeee wee mdumange leoo
cheza mdumangeeee mdumangeeee wee mdumange leoo
verse
baby nimek-mis sana si unajua
kama dancer wa fally ipupa unavyokibinuaa
taratibu mamaaa utakua niuwa
sura kama makabila unavyojichubua
oooooh oooooh oooooh
taratibu mamaaa
oooooh oooooh oooooh
utaniuwa mamaaa
oooooh oooooh oooooh
aaaah taratibu mamaaa
aaaàaah aooo aoo aooo aoo
aooo aoo aooo aooooooo
versе 2
nyumba ninayoishi mimi ni yakupanga si unajua
mama twende chumbani ukipaga kelеlee utanitambua
mama namsaty uyo kitinda mimba ameshakuwa
nina mimba ya miezi mi nne we twende chumbani tukajazee pua
chorus
wee masha love tulia nyumbani tucheze mdumange leo
wee jike shupa utulie nyumbani tucheze mdumange leoo
rashida wanjara utulie nyumbani tucheze mdumange leoo
juma lokole utulie nyumbani tucheze mdumange leoo
cheza mdumangeeee weee mdumange leoo
tucheze mdumangeeee wee mdumange leoo
cheza mdumangeeee mdumangeeee wee mdumange leoo
aah
bridge
baridi ninalosikia weee bwana acha acha
mama it mkung’utie vitu tuzae mapacha
mapachaaa
namfinyia kwa ndani weee bwana acha
amber rut anapenda mdumange mixer tick takaa
hamisa mobeto hodariiiiii
kucheza mdumangeeeeee
jacky wolper hodariiiii
kucheza mdumangeeeeee
kajala masanja hodariii
kucheza mdumangeeeeee
mama kuki hodariiiii
kucheza mdumangeeeeee
aaaàaah aooo aoo aooo aoo
aooo aoo aooo aooooooo
kama unaweza style ya mdumangee nionesheee
kama unaweza style ya mdumangee nionesheee
kama unaweza style ya mdumangee nionesheee
kama unaweza style ya mdumangee nionesheee
twende pale
kimsengele mgongo kimkuu kimsengeza
kimsengele mgongo kimkuu kimsengeza mbagala kuu
mnyomo kasema twendeni mbagala kuu
oya dj mimi siendelei mpaka unipigie ngoma kubwa nipigie ngoma kubwa nipigie ngoma k-mbwa
nesco mtu mbadi badman
weee manager chambuso
mpe salam saluuuum dangoteeee
kingereza nawezaaa
aaaaanhe show time can you clap your hands twende
show time good time can you calp your hands twende
show time good time can you calp your hands twende
show time one time can you calp your hands
can clap your hands
can clap your hands
can clap your hands
can clap your hands
unakituuu utafika mbaliii
you have something you will get far
you have something you will get far
you will get far
you will get far
aaaaaah mdumangeeee
producer nani sijui
ghost the baddest ahaha hahaha
watoto wa chamanzi mbalaaa aaaah mpaka ila
watoto wa kusini lindi mpaka mtwara
tunaweza mdumangeee
beat imekatika tuanaendelea
letras aleatórias
- letra de bab jenna - khaled
- letra de jak mam nie przeklinać? (pierdolić refreny) - donguralesko
- letra de provocame - banda vallarta show
- letra de a teddy bear and a tazer - p.o.s
- letra de forward - fiya
- letra de lemonade (cover) - t jaded
- letra de how to roll a blunt - tyo (tha yung one)
- letra de carta ao presidente - marcelo d2
- letra de hasta mañana - (feat. beto zapata) - los claxons
- letra de luźne t-shirty - margiela