letra de watajua hawajui - khaligraph jones
[intro: khaligraph jones]
you know we had to make it happen
khaligraph jones
msupa s
you already know
go get em girl
[verse 1: msupa s]
you all’s not ready
hiyo chopper iko steady
shot shot everywhere (brrr!)
shot shot on the belly
umeniona kwenye telly
me ni kama balotelli
flow tight kama vajo
lakini simaanishi mary
he take money from you b-tches and he brings it back to me
i ain’t twerit about to pites i’ma sip this hennessey
because no kama gonna stuck, blow the kip flikati
we may run up on your back, if you diss the kale queen
kale queen, mimi staki drama
wanapenda vile mimi nachana
mama we ah nione gah!
ah mutingonyo, ah muntungimye
geba tu wandonyo, kal tu wanjega
kyal tu an ingwe, ah kye wegega
kyam tu animye,ai chap bingwe
age-lu chegaa, am muno chami
[chorus: khaligraph jones and msupa s]
kayole to bomet wanapiga saluti (brrrah!)
mash0r- na ma fellow, ma diva, ma groupie (yeah!)
papa na msupa s tushajipa mashughuli ah!
so wakijifanya hawajui
wakijifanya ndo
watajua hawajui (eh!)
watajua hawajui!
watajua hawajui (yeah!)
watajua hawajui!
watajua hawajui (buda!)
watajua hawajui!
watajua hawajui (jui!)
watajua hawajui (jui!)
[verse 2:khaligraph jones]
endolet nimenunua samba
nimefungua mbiasala namanga
bibi ndatoa gatanga
mahali ndalipa kama lolo atalamba
mimi ni lafiki ya luto
ju ye ndio hunisikia mf-ko
msupa aliniso wakale wanapesa nikasema ntapitia huko
now lets get back to reality
all of this n-ggas you stopping
i might have to get on a track with the queen
girl you’re a g an’ i’m loving your confidence
and on the real,you’re on your level
i love how you pushing your feet on the pedal
na mbona mnajifanya hamjui pia me ni mkale?
why do you think they call me julius yego?
ka ni buzz mimi ni baba kamiti
jeshi ka kura za tharaka nithi
john snow, kwa hii game of thrones
ju mikono zangu ndio zina dara khaleesi
me ni msee wa kismaat, para sina
swara sina na hasara sina
ukitaka ata unaeza uliza sara amina
nina hype kama ile movie ya sarafina
nilijua tukifanya hii collabo hii industry tutaimess
ju track tunaipiga na kale na ina come na mzuka fresh
so next time you see me salute me ju me ndo the buda yesss!
unadhani utaezana na og akikuja na msupa s
[chorus: khaligraph jones and msupa s]
kayole to bomet wanapiga saluti (brrrah!)
mash0r- na ma fellow, ma diva, ma groupie (yeah!)
papa na msupa s tushajipa mashughuli ah!
so wakijifanya hawajui
wakijifanya ndo
watajua hawajui (eh!)
watajua hawajui!
watajua hawajui (yeah!)
watajua hawajui!
watajua hawajui (buda!)
watajua hawajui!
watajua hawajui (jui!)
watajua hawajui (jui!)
[outro:msupa s]
wakidhani ndarudi chini,watajua hawajui!
me nirudi chini bado,watajua hawajui!
naenda mbele bado,watajua hawajui!
naenda mbele bado,watajua hawajui!
watajua hawajui!watajua hawajui!
watajua hawajui!watajua hawajui!
watajua hawajui!watajua hawajui!
watajua hawajui!
[chorus: khaligraph jones and msupa s]
kayole to bomet wanapiga saluti (brrrah!)
mash0r- na ma fellow, ma diva, ma groupie (yeah!)
papa na msupa s tushajipa mashughuli ah!
so wakijifanya hawajui
wakijifanya ndo
watajua hawajui (eh!)
watajua hawajui!
watajua hawajui (yeah!)
watajua hawajui!
watajua hawajui (buda!)
watajua hawajui!
watajua hawajui (jui!)
watajua hawajui (jui!)
letras aleatórias
- letra de l.q.m.e - n.hardem
- letra de come clean - guru
- letra de me olvido el destino - benny benni
- letra de light and heat - shai linne
- letra de t difícil - live - anselmo ralph
- letra de together we fall - rondé
- letra de fuckin business - kacci
- letra de handle ya business - wiley
- letra de più rispetto - emis killa
- letra de quelle aventure ! - no se