letra de punguza kasheshe - khaligraph jones
[intro]
big shoutout to vinc on the beat, by the way
[chorus]
niko kwa streets na mamita
tuko lit na pia ni ka tumekam na rende
niko na biz nasafisha
hizo beef mnachachisha ni kash-sh-
so punguza kash-sh- (punguza kash-sh-)
punguza kash-sh- (punguza kash-sh-)
punguza kash-sh- (say punguza kash-sh-)
punguza kash-sh- (kash-sh-)
kash-sh-, punguza kash-sh-
[verse 1]
heh heh
punguza kash-sh-
beat inagonga proper, inabaki naunguza madebe
past curfew, bado niko nje ninazunguka na njeve
tenje nilisahau kеja, najua wife ashachunguza ma-message
rat racе teke teke, niko on toes niki-navigate (jones)
mi ni gangster, we bado unangoja hawa ma-b-tch waku-validate (hahahaha)
isis leader venye hizi ma-beat n-z–terminate (brr!)
convict, utajuaje nilikuwa inda miezi mbili
hizi stori huwezi ka-relate (never)
no wonder si hatufanani hata kidogo (nope)
opwondo, bonga shonde uone vile mi nitakuchapa kisogo (come on!)
uliza kayole gathee, mi ni rasta, ni popo
mi ni hustler kanairo, mwihoko, nipate whatsapp niki-chat na kabogo (iyee!)
miaka ni thirty na buda yako ananiita fathe (fathe)
rada ni chafu, hapo ukikam nayo, nakutapee (tapee)
tukienda courtiko gathee, mi nitakuitia cartel (woo!)
angalia mbulu uniambie ni akina nani wameshikilia makesi
[chorus]
niko kwa streets na mamita
tuko lit na pia ni ka tumekam na rende (umekam na rende!)
niko na biz nasafisha (iyee!)
hizo beef mnachachisha ni kash-sh- (ati ni kash-sh-?)
so punguza kash-sh- (punguza kash-sh-)
punguza kash-sh- (punguza kash-sh-)
punguza kash-sh- (say punguza kash-sh-)
punguza kash-sh- (kash-sh-)
kash-sh-, punguza kash-sh- (punguza kash-sh-)
punguza kash-sh- (punguza kash-sh-)
punguza kash-sh- (say punguza kash-sh-)
punguza kash-sh- (kash-sh-)
kash-sh-, punguza kash-sh-
[verse 2]
heh heh
no smile for the cam, and i’m never in the right mood (woo! woo! woo!)
ask about him in the hood, that n-gga khali is a tycoon (jones, jones, jones)
cross me ka haujipendi, guaranteed you go die soon (haha)
top rapper though nitakuwa nadanganya nikisema pesa zangu ni za itunes
juu niko spotify na boomplay, na bado deezer pia selling music, tuesday ni tuesday
so why you debating ’bout who is paid?
mi nalipwa pande zote, nyi bado mnang’ang’ania 2k
roc-a-fella, i’m the new jay
blu ink is the label, usipime, tuko juu we
nawakunywa kama kool-aid
punguza kash-sh- ama ugeuzwe kichungi ‘fore it’s too late (uhh!)
heh heh, sura ngumu utadhani [?] (yeah, yeah, yeah)
ka hutaki majuk-mu gathee, basi vaa mpira (kwenda!)
vile mi hutema moto, utadhani godzilla (shwaa, shwaa, shwaa)
and we all know that there is only one k!ller (woo!)
comprende? we don’t pretend
we just pull up your crib when the choppers are loaded (brr!)
comprende? we don’t forgive
we just shoot out your brains, and i swear we gon’ love it (pow, pow, pow)
ain’t no verses for free, n-gga, work on your budget (word, word, word)
one and sixty on top, and there’s nothing above it
going psycho, gotta get these demons to stop (stop!)
they messing my head up, i’m crazy, believe it or not (woo!)
these snitches get stitches, it’s better you flee the cops (run, n-gga)
despite my condition, man, i’m still the cream of the crop
heh heh
[chorus]
niko kwa streets na mamita
tuko lit na pia ni ka tumekam na rende (ati umekam na rende?)
niko na biz nasafisha (woo!)
hizo beef mnachachisha ni kash-sh- (ati ni kash-sh-?)
so punguza kash-sh- (punguza kash-sh-)
punguza kash-sh- (punguza kash-sh-)
punguza kash-sh- (say punguza kash-sh-)
punguza kash-sh- (kash-sh-)
kash-sh- (ah)
niko kwa streets na mamita (woo!)
tuko lit na pia ni ka tumekam na rende (umekam na rende!)
niko na biz nasafisha (ayy)
hizo beef mnachachisha ni kash-sh- (hizo zote ni kash-sh-)
so punguza kash-sh- (punguza kash-sh-)
punguza kash-sh- (woo! woo! woo! woo!)
punguza kash-sh- (say punguza kash-sh-)
punguza kash-sh- (kash-sh-)
kash-sh-, punguza kash-sh-
[outro]
haha!
you know what it is, khaligraph jones
big shoutout to everybody, nairobi, what’s up?
[?] wagwan, bredda?
heh heh, respect the ogs
letras aleatórias
- letra de happy girl (thousand miles demo) - miley cyrus
- letra de ok - jeremy zucker
- letra de hearts never break - when chai met toast
- letra de vudú - hugo cobo
- letra de tidža bleja - tatica tikvalonije
- letra de je n'suis pas folle (version 2012) - aliose
- letra de mooneater pt. i - lovecraft
- letra de sugarushhh - overmono
- letra de ирка (irka)* - cupsize
- letra de good enough to let you go - maddie poppe