letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de nakuomba - ken demacra

Loading...

ken demacra
nakuomba lyrics
intro
dollar boy oyeeeeh
mademu wa sikuhizi

verse 1
nashangaa kucheka kwako
tangu nikuowe bibi w-ngu ujawai cheka
chai unadai koko
kama ujakunywa mwenzangu kiti unashuka
mola takupa viboko
kwa maana uhuna nithamu tena hata haraka

dollar boy nashindwa na mabibi wa leo
kwa nyumba hapiki eti anadai mbochi
atacheka panthera leo
mfalme wa mstuni tochi
aaaah

kila siku unadai pesa
ninamuka kwenda mjengo ndo nipate riziki
moyo w-ngu ulikunasa
kuogea na mteja eti ninatafuta kiki
kazi upendi rosa
kazi zote ndo mimi nafanya hata kupiga deki
nakuomba
baby tualia kwanza
eeeeeh nakuomba
ebu skiza
ooooh nakuomba
nitafuta pesa
aàaaah nakuomba
baby tualia kwanza
eeeeeh nakuomba
ebu skiza
nakuomba
nitafuta pesa aaaaah

verse 2
bado sijajua mbona ulinifanya hivo
kwani ndoa ni pesa nilizani ni kupendena
hata kama ni pesa chakula kilikuwa hakoseki
kwa nyumba
mbona ulinifanya hivi
uliona kenny mjinga
ila mimi nilipenda kwa kupenda
ila wewe ulipenda kwa waleti

wewe ulinivunja
sitamani hata kutazama sura
vibodozi wanja
unashtua unavuta hata sigara
unajua unashangaza
hata bubu anatoa sauti
kachumbari nyanya
pia kiwete anatembea
mademu wa leo aaaaiiiiiih
usinipende kwa maana nina hela aaaiiiyeyeye
uliniangusha aaaiiiyeyeye
akanimw-nga aaaiiiyeyeye
kwa maana sina hela

oooooh nakuomba
baby tualia kwanza
eeeeh nakuomba
ebu skiza
oyaah nakuomba
ooooh skiaa
ooooh nakuomba
baby tualia kwanza
eeeeeh nakuomba
ebu skiza
eeeeh nakuomba

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...