letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de mkofi - ken demacra

Loading...

ken demacra
makofi lyrics
intro dollar boy oyeeeh

kijana mdogo usikate kamba
pitia chini ya tanzania uende pemba
usijekuwa mjanja kama mkamba
urarue nyama ya mbuzi yaani simba
ukuwe fresh kama cucumber
credit imeisha kwa phone nataka bamba

sasa nipigie makofi eeeeh makofi
nataka makofi eeeeh makofi
usijemwiita wifi eeeeh wifi
asiende kwa wifi oooooh kwa wifi

mi niimbe bongo ama rhumba
yeye ni mweupe kama pamba
mimi tuwe wawiliwawili
kuniwasha kapilipili
anzia moja usiruke mbilimbili
akiwa juu ananiona kwa mbalimbali
next year mwiite lilylily

hapa duniani kuna watu
wabadilika kama viatu
wanakufail bila vitu
mimi nisha choka aaaah nisha choka
ataniletea shoka aaaah shoka
mchezo wa soka aaaah wa shoka
yule kijana ametoka aaaah ametoka
stress kw-ngu m
oyo w-ngu bam bam bamba
eeeeeh bam bam bamba
kunichokesha kadang dadang
eeeeeh eeeeh kandang dadang
nianze kufunza watu bible
jesus kuinterpret parable
siku gani alianza kuiita people
mi hupenda watu purple
mambo ya usingle single
kuna watu wanajiswichi swichi
mambo ya ufisi fisi
si yeye ni mdogo
sheria ufuata mtu mdogo
sheria uslaid kama embe dodo
kama kuteseka nishachokaa eeeh nishachokaa
kuna bongo ya tetema
usije tetema mara saba
kama spear lenga shaba
kwa shida muiite baba

sasa nipigie makofi eeeeh makofi
nataka makofi eeeeh makofi
usijemwiita wifi eeeeh wifi
asiende kwa wifi oooooh kwa wifi
dunia inaenda kuwa complicati
ukichanyanganya na mambo za interneti
wanafaa kuban mihadarati
kila siku kupoteza tu visenti

i don’t know niweke kichwa wapi
yule kijana amelewa chopi
design mpya eti wametoa photocopi
sikuhizi hata pet wameweka puppi

mimi natafuta kazi
kazi ya kuuza tangawizi
kazi fiti sio ya uwizi
uko kotini kuna kitenzi

sasa nipigie makofi eeeeh makofi
nataka makofi eeeeh makofi
usijemwiita wifi eeeeh makofi
asiende kwa wifi oooooh kwa wifi
dollar boy

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...