letra de machachari - ken demacra
ken demacra
machachari lyrics
intro
dollar boy oyeeeh
mimi ni dance sio toy cleaner
natibu ugonjwa k-mbe ni cancer
walichapa mwilimu kingereza k-mbe ni teacher
shetani hawajavamiwa juma pili kwa pastor
mmmh
mschana mwebamba
anataka soda ikimbie mpaka magadi
ndo nikimpata kando ya kona
asimame kijeshi mmmh
mama hutoka pemba
naona anakula mandizi
dem mrembo hatoki
ndani ya gari aringe kama tausi
sasa sina neno acha nikae kimia
waleti imejaa nafikiria maelufu k-mbe ni mamia
kelele kwa darasa mitihani ikikuja ashiki mkia
akipotea mwalimu na pastor wanaonionyesha njia
ooooh machachari
huyu ndio machachari
ooooh machachari
kijana machachari
ooooh machachari
huyu ndio machachari
ooooh machachari
nikutafute mombasa nikupate naishava oyaah
usiweke pilipili mdomo utawasha oyaah
kufunga mabao za kona fanya mazoezi kama
maradona oyaah
baby piga deki usiseme unapitisha oyaah
safari ni mbali ntaamuka mapema oyaah
hawezi kula suk-ma tupu akatafutе spinach
oyaah
sasa sina neno acha nikae kimia
waleti imеjaa nafikiria maelufu k-mbe ni mamia
kelele kwa darasa mitihani ikikuja ashiki mkia
akipotea mwalimu na pastor wanaonionyesha njia
ooooh machachari
huyu ndio machachari
ooooh machachari
kijana machachari
ooooh machachari
huyu ndio machachari
ooooh machachari
huyu ndio machachari
eeeeeh machachari
sasa nikuambie cymo vile nang’ang’ania oyaah
mateso bwana chingu nzima siwezi oyaah
niamuke saaa tano tena niamuke saaa k-mi oyaah
nitafune ka miraa kisha waitee jeshi oyaah
baby don’t lie you go make me crazy oyaah
-n-lala fofofo alimwaga udande sawa
ako na shida pressure yake hupanda sawa
kuende gyma daily nguvu ufikia punda sawa
wivu kitu mbaya kila siku kwa kibanda sawa
miaka k-mi bado hana kitanda sawa
sasa sina neno acha nikae kimia
waleti imejaa nafikiria maelufu k-mbe ni mamia
kelele kwa darasa mitihani ikikuja ashiki mkia
akipotea mwalimu na pastor wanaonionyesha njia
ooooh machachari
huyu ndio machachari
eeeeeh machachari
kijana machachari
letras aleatórias
- letra de 하얀 거짓말 (white lies) - summer soul
- letra de break off - fancy monster
- letra de save me - laban
- letra de dos sonhos às ilusões - daniel de olive
- letra de win - neyoo
- letra de à la folie - svudvde
- letra de пьяными (drunk) - нееет, ты что (neeet, ti shto)
- letra de うたをうたおう (utaoutaou) - moumoon
- letra de decay - lorelei
- letra de darling, darling - rob deniel