letra de kelele - ken demacra
ken demacra
kelele lyrics
intro
dollar boy oyeeeh
mmmh
[verse 1]
ooooh my loard
ooooh my god
ooooh god show me everything
everything i want
ooooh kenya to lagos
hey show me the one
hey mwenzangu panapanaaaaa pana
ooooh baby come
today is my party
i please you come on aaaah
kwanza moto moto sikia
haki wee wee unimaliza
haki mimi mimi mimi elewa
eti weee unibulize
tutakula baga tutafune bigi g
mimi kwako simanzi
ukiwa mbali sana usipopenda maradhi
nilitamani niwe nawe
i wish penzi linge kuwa nguo ningempea avae
zimenishika kama cholera tabasamu kwako malaika
kukunywa pombe si starehe usijali ni vitu vya kupita
kama naona ni manze wewe sitaji mwengine
nilitamani niwе nawe usiku na mchana
salimu mama nyumbani fiche umpe imani
wasijе ni laghai
ukasema nimek-mbwa na upepo
aaaaaah
[chorus]
penzi langu sio la kelelelele ooooh kelelelele
wanaopiga kelelelele ooooh kelelelele
mwenzangu nibebebebe ooooh nibebe
ukipenda nidekedeke aaah nidekedeke
[verse 2]
i wish god ningekuwa na rahaa na yule nampenda
today i wanna told you
i gonna propose to you
i go confess to you
asah nibebebebe oooaaaah
kwa jiko nipetepete ooooh
mapenzi haitaji uongo
tukiwasha itang’oa nanga
uki kwetu namanga
napenda k-manga
i wish penzi limekuwa maji ningempea aoge
kama naona malaika
mwenzangu show me the one
i need the one
wasinyang’anye the one aah
[chorus]
penzi langu sio ya kelelelele ooooh kelelelele
wanaopiga kelelelele ooooh kelelelele
panapanaaaaaa pana aah k!ll me k!ll me k!ll me aah
penzi penzi langu sio ya kelelelele
ooooh kelelelele
wanaopiga kelelelele aaah ooooh kelelelele
sio ya kelele ooooh kelelelele
wanaopiga kelelelele ooooh aah ooh aah ooh aah
letras aleatórias
- letra de tu meri zindagi hai - frenzo harami
- letra de granada - ben e. king
- letra de earth (a starstruck demo) - itsdisbelief
- letra de losin' my cool - facewreck
- letra de trapsoul - youn
- letra de почему? - jsb (jesusbackk)
- letra de heaven came down and glory filled my soul - george beverly shea
- letra de l'appel du révolution - kaaris
- letra de scared of my money - kodak black
- letra de luxury - langston bleu