letra de gentleman - kayumba
《it’s another ca$e》
[verse 1]
labda ameni safiria malimbwata na mivuto, sijui
au mola amenikutanisha ‘na mama wa wanangu, sijui
maana moyo ameugaragaza, ameufanya nini, sijui
…
chake chungu, siepui
[pre-chorus]
mambo poa, sasa nitaoa
salaam ziende kwa mama ‘mwanae nime kua
mambo poa ‘washkaji naoa
ule utoto, makuzi basi
wanangu tume kua
[chorus]
siku hizi tuna kwenda ki ‘gentleman
mmm…
(gentleman)
gentleman
(gentleman)
gentleman
(gentleman)
gentleman
mmm…
gentleman
woah, gentle
(gentleman)
[hook]
“kama kweli una couple mposti mwenzako”
[verse 2]
oh my baby lie, lie, lie, lie, lie, lie
nafanya chochotе ili nikuone ukifurahi
no excuse (?) usijе sema bye-bye (usije sema bye-bye)
aki nuna yes nambembeleza
cause (?)
na mpa muda w-ngu, namskiliza, it’s my joy
she is my best friend
she is my only one
african girl, number one
woah
yupo na gentleman
[pre-chorus]
mambo poa, sasa nitaoa
salaam ziende kwa mama ‘mwanae nime kua
mambo poa ‘washkaji naoa
ule utoto, makuzi basi
wanangu tume kua
[chorus]
siku hizi tuna kwenda ki ‘gentleman
mmm…
(gentleman)
gentleman
(gentleman)
gentleman
(gentleman)
gentleman
mmm…
gentleman
woah, gentle
(gentleman)
[outro]
“kama kweli una couple mposti mwenzako”
《ka mix laizer》
letras aleatórias
- letra de wake me up - 3d na'tee
- letra de gosti - dina jashari
- letra de geronimo - ivoxygen
- letra de letterman - lazy3x
- letra de elsk meg (samme hva) - ramón (no)
- letra de jackpot - nick kopel
- letra de to the ends of the block - the longest johns
- letra de capital a's - i have four names
- letra de blizu - čuka bgd
- letra de luxusproblem - schmutzki