letra de coco - kayumba
[intro]
(?)
(a, a, a, ‘a-m records)
yeah, yeah
[verse 1]
baby coco (coconut)
huba limeshakolea, kolea
penzi si sigara kugongea, gongea
haya mapepo, ‘kemea, kemea
coco
kudeka, deka ‘kunanipa hamu
(? fit namaliza yote ?)
coco
koni ya kopo nailamba, ‘um
coco akitaka pipi
namtolea na maganda, ‘tamu
one day ‘mi naye ndoa ye mama mi baba
one day ‘mi naye ndoa ye mama mi baba
ukiniachia nitapwaya (coco)
moyo umesha-desire (coco)
umenishika pabaya (coco)
nibatize niimbe kwaya (coco)
eh
penzi lako fire (coco)
umenishika pabaya (coco)
moyo umesha-desire (coco)
nibatize niimbe kwaya (coco, eh)
one day ‘mi naye ndoa ye mama mi baba
onе day ‘mi naye ndoa ye mama mi baba
[verse 2]
moyo ukipendaga huna kificho (kificho)
nguvu ya pеnzi hubadili maandiko (maandiko)
nibembeleze coco kwa maneno ya mashiko
ah
ulipo shika hapo hapo ndipo
nipe hata kama ukiwa na moja kanga (enhee)
nipe tena uone nilivyo jipanga (oh, yeah)
nipe vita ya chini, nikupe ya anga
kwenye kibanda changu ama nyumba ya kupanga
si dhambi, oh
kukupenda coco (oh, eh, eh)
kukupenda coco
mwenzio nalala na yako photo (ooh)
upande kulia, kushoto
one day ‘mi naye ndoa ye mama mi baba
one day ‘mi naye ndoa ye mama mi
baba
ukiniachia nitapwaya (coco)
nitapwaya
moyo umesha-desire (coco)
desire
umenishika pabaya (coco)
umenishika pabaya
nibatize niimbe kwaya (coco)
umenishika pabaya
eh
penzi lako fire (coco)
oh, mbaya, mbaya, oh
umenishika pabaya (coco)
oh, mbaya, mbaya
moyo umesha-desire (coco)
oh, wewe
nibatize niimbe kwaya (coco, eh)
ay, yay, yay, ay, yay
ay, yo
ayo
(coco, coco)
manecky, eh
ayo
ay, yo
umenishika pabaya (coco)
ay, yay, ay
(coco, coco)
coco
coco
shika pabaya (coco)
eh
(coco)
yo, yo, yo, yo, hey (coco)
oh, oh, oh (coco)
(oh, coco)
umenishika, she-she, eh
umenishi-shi, sheke, eh
umenishika, she-she
coco, eh, coco yeah
letras aleatórias
- letra de different - alex belman
- letra de anthem for the end of the world - huck hastings
- letra de the open door - beyette
- letra de #hot16challenge2 - krulig
- letra de new ones (blue ones) - supa bwe
- letra de stardust - the zekel
- letra de the hollow - joshua travis
- letra de lost - eric eckhart
- letra de the warlord's last ride - bane of winterstorm
- letra de heavy being you - racoma