letra de bomba - kayumba
(here is another one touch, touch)
bomba bomba eeh, bomba
verse 1:
ah jicho kokodo ukinikodolea
huo mkonyezo mwenzake najilegea
chuzi la sotojo limenikolea
mi mbwa mbele ya chatu
hatari nasogelea
tupendane tuwe kati ya mak-mbusho
karne zijazo watusome
mi wake wa future ye w-ngu wa ndoto
kimaso maso wasituone
hook:
hata akifumania poa tu (poa tu)
aseme ninam-intefere poa tu (poa tu)
mi nang’ang’ania poa tu (poa tu)
ndo nishajifia poa tu (poa tu)
chuma kwa chuma namwaga cheche (poa tu)
mwenzenu napewa weka tuweke (poa tu)
nikimuona napanda kidete (poa tu)
uwo uwo uwo (poa tu)
chorus:
ay’
natamani katongoze mara ya pili
hapo vipi (bomba bomba hio)
anitilie limbwata anikoroge akili
hapo vipi (bomba bomba hio)
hapo vipi (bomba bomba hio)
ipo vipi (bomba bomba hio)
ee bwana vipi (bomba bomba hio)
ipo vipi (bomba bomba hio)
verse 2:
ay’
sherrie baby, mama sherie oh
anipa kazi moto, mwinyikazi oh
ay’
ndani joto sitaki feni oh
aninogesha na vyake vilio
mapenzi hayana nunda
uchebe kawai gunja
penzi pepo la kimbunga
likichanganywa na ndumba
hook:
hata akifumania poa tu (poa tu)
aseme ninam-intefere poa tu (poa tu)
mi nang’ang’ania poa tu (poa tu)
ndo nishajifia poa tu (poa tu)
chuma kwa chuma namwaga cheche (poa tu)
mwenzenu napewa weka tuweke (poa tu)
nikimuona napanda kidete (poa tu)
uwo uwo uwo (poa tu)
chorus:
ay’
natamani katongoze mara ya pili
hapo vipi (bomba bomba hio)
anitilie nipate kurudi akili
hapo vipi (bomba bomba hio)
eeh hapo vipi (bomba bomba hio)
ipo vipi (bomba bomba hio)
ee bwana vipi (bomba bomba hio)
ipo vipi (bomba bomba hio)
letras aleatórias
- letra de safe place (sunday breeze) - angeloh
- letra de ain't no better place - niko moon
- letra de #typeshi - imfelz
- letra de boojh mera kya naam re - shamshad begum
- letra de каникулы (kanikuly) - boom
- letra de fever dream - open city
- letra de zarobki - cheatz (pol)
- letra de obsession reveal* - dawnrooney27
- letra de come to the fatherland! - harmony original broadway cast
- letra de end it all - almighty