letra de already know - karu black
black in the building
yeah
talanta si ndumba si vako kamari venye kiongozi anacheza na flow
kama unataka ma vako hatari cheki tu pori na ukuje na dough
vako za kwetu si kama za wale kuna miradi hatuwezi ka post
kama uko rada weh fika kwa party zile ma vako you already know
already know kuna ma vako hatuwezi ka post
already know kuna miradi we keeep on da low
already know kama ni mbleina tabidi ni ghost
already know kama uko rada weh kuja tu toast
vile nairobi ni shamba la mawe cheki una mblein ukikuja na jemebe
toka wahenga na wale wa kale wale wagenge ilibidi wa nene
cheki ukipenya utafika kwa party zile ma area hakunaga kanenge
maisha kanairo si mambo ni shwari ati ulifika ulikuja na rende
bei imepanda vitu na do finessin da money in a couple of ways
rende inamanga step in da room cheki tu sasa they call us by name
kama uko rada vitu uta do wale ma mbleina wata dedi na shame
usilete lawama kwa ma bazu kamati ni ngori na haipendi ma games
vitu zingine unadhani ni chocha
utoke kwa block utapiga tu mboka
wera ni wera unaichapa uko sober
leo ni ku party ku turn up vi noma
sit at the table ulikuanga kwa boarder
zile ma days za ma rubber na ngoma
leo ni ma kicks na ume change into loafers
iko tu sawa ile pace una songa
talanta si ndumba si vako kamari venye kiongozi anacheza na flow
kama unataka ma vako hatari cheki tu pori na ukuje na dough
vako za kwetu si kama za wale kuna miradi hatuwezi ka post
kama uko rada weh fika kwa party zile ma vako you already know
already know kuna ma vako hatuwezi ka post
already know kuna miradi we keeep on da low
already know kama ni mbleina tabidi ni ghost
already know kama uko rada weh kuja tu toast
already know kuna ma vako hatuwezi ka post
already know kuna miradi we keeep on da low
already know kama ni mbleina tabidi ni ghost
already know kama uko rada weh kuja tu toast
vumbi kwa shoulder na brush
kuna miradi tu kwetu ni must
ata kama we do it n hush
ha′ ni ma morio i know i can trust
ma local za kwetu ni shash
hakuna ma vako za nyaru na gas
leo tumefika kwa bash
zile ma yardie za kwenu relax
omba tu mola na usare ku worry shout out kwa yout’ anachapa tu biz
ile ndo struggle haikuji kwa story daily ni mboka unageuka tu beast
siku ni mingi huj-pandwa na mori medi na puff una saka tu peace
foot on the gas unaongeza irori mkidi na wife wasibaki kwa streets
venye naileta ile design inapunguza pressure
jifanye unalenga rende na wife niko sure wanapenda
on da agenda tuko kwa bash na haitaki pretenders
tuko na temper usiwashe tu nare na hupendi adventure
talanta si ndumba si vako kamari venye kiongozi anacheza na flow
kama unataka ma vako hatari cheki tu pori na ukuje na dough
vako za kwetu si kama za wale kuna miradi hatuwezi ka post
kama uko rada weh fika kwa party zile ma vako you already know
already know kuna ma vako hatuwezi ka post
already know kuna miradi we keeep on da low
already know kama ni mbleina tabidi ni ghost
already know kama uko rada weh kuja tu toast
letras aleatórias
- letra de back 2 back - amr dee huncho
- letra de parachute - eppic
- letra de hielos - cecilio g
- letra de cupid - alexandra savior
- letra de trouble - sammyy rose
- letra de aus dem brustbereich - jintanino
- letra de better than you - androopers
- letra de 소녀감성100퍼센트 (girl sense 100%) - oohyo
- letra de city life - original - ashtraynutz
- letra de 7 sins - bknitts