letra de paka la bar - kapaso bkp
eti nikung’ang’anie nijiachiee
nicheat nikuone nivumilie
aaah kutwa nilie kisa wewee
simu yako unaishika mwenyewe
nikung’ang’anie nijiachiee
nicheat nikuone nivumilie
yaani kutwa nilie kisa wewee
simu yako unaishika mwenyewe
ukiniona mbwa mi nakuona paka la bar
hata nikukute juu ya kifua hakuna ninacho shangaa
ukiniona mbwa mi nakuona paka la bar
hata nikukute juu ya kifua hakuna ninacho shangaa
hauna chochote ambacho mimi nikitakachoo eehh
we kipima joto mi nilikuvumiliaga kwa upepoo
kinguoni kikulacho unakodoa machoo
ulinikimbia ila sasa nakula marafiki zakoo
nilikuwa zamani kuniona katuni
wa kuniangalia kwenye video
ila sasa mimi nakuona bosheni maaana yanakupita ya ki leo
oya kwani kulikoni kwani kuna nini waunii
kwani kuna jambo gani mbona kama chura wapo barazanii
tuna walambisha konii kama pikipiki na honii
ukinipiga na k-mwaga kama moni wa setrozonii
ukiniona mbwa mi nakuona paka la bar
hata nikukute juu ya kifua hakuna ninacho shangaa
ukiniona mbwa mi nakuona paka la bar
hata nikukute juu ya kifua hakuna ninacho shangaa
letras aleatórias
- letra de want you back - dylan schneider
- letra de 999 - baco exu do blues
- letra de rererepeat - フレデリック
- letra de paradise - eric demn
- letra de 6 وشوش - hassan el shafei feat. أحمد شيبه
- letra de falsas mentiras - talento de barrio feat. diego ríos
- letra de фая - miyagi & эндшпиль
- letra de 1 of 1 - shinee
- letra de to be in love (freestyle) - hateph34r
- letra de goza - jorge celedón feat. sergio luis