letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de nakungojea - kapaso bkp

Loading...

shii beberu
majibu ya maumivu machonii
kichoponyaa ni imani sio dozi
sij-pona maradhii moyo w-ngu una magongoo
kupenda tena siwezi yananitesa mapenzii
sij-pona maradhii moyo w-ngu una magongoo

iko wazi hakuna kilichojificha
watu wanajua kama tumeachana
iko wazi hakuna kilichojificha
watu wanajua kama tumeachana
kama ikitokea umenimis nipo nakungojea sijakusahauu
ikitokea umenimis nipo nakungojea sijakusahauu

niliigwa na butwaa kama ulijiandaa yayaaa
kama kosa yayaaa ungesema nilipokesaaa
mi sina manufaa kwa wale waliokufaa
umechoma mkeka kwa tamaa za sofaa
mimi ni kati ya wanaume waliojinyima furaha
ili faimlia zao ziishi kwa furaha
mi ni kati waliojinyima kupendeza ili baby apendee
akapendwa na wengineee

iko wazi hakuna kilichojificha
watu wanajua kama tumeachana
iko wazi hakuna kilichojificha
watu wanajua kama tumeachana
kama ikitokea umenimis nipo nakungojea sijakusahauu
ikitokea umenimis nipo nakungojea sijakusahauu
ikitokea umenimis nipo nakungojea sijakusahauu
nipo nakungojeaa
nipo nakungojeaa
nipo nakungojeaa mamaa
nipo nakungojeaa
shii beberuuu
kapaso hapa g*nius from tanzania

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...